Siku hizi hatuviziani tena njiani kama zamani,maana huko way back ilikuwa kipengele kweli,ukimtaka mrembo ni full misele kitaani kwao,,nakumbuka class mate wangu mmoja tulikuwa tunakaa nae kitaa pale Upanga seaview.
Alinambia unamuona flan ambaye nae ni classmate wetu pia,anakuja kuja huku ujue...
Mimi huwa napenda namba 39 na aliyefanya niikubali hii namba ni Toni Kroos wakati akiwa Bayern Munich.
Wewe huwa unapenda ipi kubwa nje ya namba 1 mpaka 11?
Hii ndio inaitwa "mockery of justice" Yanga wamepeleka kesi Mahakamani 17/7/2024, hakuna hati za wito kwenda kwa Magoma na wenzake ili waitwe, wasikilizwe, leo 19/7/2024 Hakimu, tena wa level ya Principal Resident Magistrate, katoa uamuzi, yaani imechukua chini ya saa 24. Hajamuita mshitakiwa...
Hivi unaukumbuka mkasa ulioitikisa Kilabu cha Inter pale walipo msajili Ronaldo de Lima maarufu huko Itaguai Nchini Brazil kwa jina Elgodo yaani Bwanyenye?!
Inter walimsajili Phenomeno kwa kitita kirefu sana cha pesa.
Usajili wa huyu mwamba hakika ulitikisa Dunia.
Usajili huu uliibua pande...
Salaam, shalom!!!
Ninapata malalamiko mengi Kwa vijana wangu wengi Walio mtaani wanaopambana kujitafuta Ili wapate chochote kitu Cha kujikimu mahitaji Yao na ya wanaowategemea.
HESLB, bodi ya mikopo, unapomkopesha mwanafunzi wa chuo, lazima unakuwa na taarifa zake, namba ya simu IPO, namba ya...
Habari zenu wakuu, hapa nilipo nina shida na 15k ya haraka. Kuna app nyingi za kutoa mikopo ila kuna sharti naona sijakidhi.
Wanataka niwe na kitambulisho cha taifa (NIDA). Bahati mbaya sijakipata mpaka leo. Nina namba pekee.
Sasa nimekuja kwenu wakuu, najua wapo wenye issue kama yangu...
Kuna utapeli mkubwa unafanyika na serikali ipo kimya. Tena utapeli wa kutumia idara za serikali. Nina ushahidi wote wa namba za wahusika. Naomba mwenye namba ya msaidizi wa Makonda ili nimtumie ushahidi wote na nyaraka za kufoji.
Tumepeleka taarifa polisi tangu February 2024, ila utapeli...
wale matapeli wanaotuma sms kuwa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kishindo.
Kwasasa kwa wiki naweza kupokea sms za namna hiyo zaidi hata ya kumi.
Mamlaka zimelala? Hii ni kero kubwa kwetu sisi wananchi, ina maana wameshindwa kabisa kuwashughulikia?
Kampuni ya Vodacom,imekuwa na usumbufu mkubwa sana.
Ukitaka kuongea nahuduma kwa wateja inakuwa ngumu,wanakuunganisha na online zao ambazo huwezi kumpata mhudumu wao.
Mwenye namba zao za Moja kwa moja tafadhali?
Tunaomba TCRA iingilie kati,Kuna shida kubwa kwa watu walio wengi na maskini
Katika Nchi tuna utaratibu wa kila chombo cha Moto kupata usajili kupata namba maalumu [maalufu kama Plata Namba]
Kwa magali tunaanza na T AAA na Sasa Tupo T EAA ,na Pikipiki zinaanza MC [Vyombo vya miguu miwili au mitatu ] MC ambayo zina gharama za kawaida
Ila serikaĺi imeweka utaratibu kwa...
Inakuaje Jf;
Leo majila ya saa tisa Mchana Namba ngeni imenipigia naona mtu aongei namwambia hallo naona kimya kama dk 1. Moja Kwa moja nimeanza kutukana matusi mengi sana.
Baada ya kutukana nimesikia Sauti ya mzee ndo mnacho fundishwa chuoni huko maana mzee Namba zake zote mbili ninazo, Sasa...
Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa.
Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa namuona huyo mtu ni limbukeni mshamba mmoja tu.
Hata hivyo hata wao ulimbukeni ukiwaisha uwa...
Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa...
Sasa wananchi wamekuwa wakinyanyaswa kupewa wapendwa wao, kwa ajili ya mazishi.
Tunaomba huo waraka No.1/2021 wa wizara ya Afya uwekwe hapa tuuone na tuusome na ubandikwe kwenye maeneo husika nchini.
Jana nilikuwa nahangaika ku unlock router isome laini zote nikawa naona kuna videos nyingi za Cameroon, Nigeria, Zambia na hata Tz. Hizi videos wanaonyesha maelekezo hatua kwa hatua lakini hawaweki link ya kudownload vifaa, wanaweka namba, ukiwasiliana nao waomba pesa.
Sio kwa ubaya ningeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.