Kila nikikumbuka tukio hili moyo wangu huwa unabubujikwa na machozi mithili ya damu ya kuku anayejinjwa, sijui hata ni kwanini ila asikuambie mtu, umasikini mbaya sana!
Nakumbuka miaka ya 1990s, baba yangu alipata bahati ya scholarship Marekani, chuo kimoja kinaitwa Yale. Hivyo ilimlazimu...