namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi ndio namna mabinti hushauriana.

    Situation One Marry: Shouger mwenzako V anapitia kipindi kigumu saa hii na hana dalili ya kutoboa leo wala kesho, ingawa anajitahidi kunipa mahitaji madogo madogo ya muhimu na ananijali sana but naona kama kazi kuwa nae. Joy: Mmmmmmhmn na umevumilia kwakweli. Usikae sehemu ambapo moyo wako...
  2. Namna huyu mzee alivyoponzwa na ubishi wake

    Hello JF hope you are doing well! Twende kwenye mada. Huyu mzee tupo naye mtaa mmoja, ni mstaafu alikuwa nesi katuka hosii ya wilaya. Huyu mzee amejenga nyumba yake katika kiwanja kikubwa tu na sehem kubwa ya neo lake hulitumia katika shughuli za kilimo cha umwagiliaji, ufugaji wa cows...
  3. Fundi simu nisaidie namna ya kubadilisha system file ya Tecno T301

    Shikamoo fundi. Kama wewe ni fundi simu utakuwa unaelewa nini nahitaji. Hapa nahitaji msaada wa kuwrite data (PAC system file (firmware. Na sio kutoa password wala ku Format. Je ni programu gani naweza tumia kwenye kuwrite data system za mediateck (MTK) Tecno 301 na itel 2160. Nimejaribu sana...
  4. Huyu Mwijaku anachokifanya kwa Gen Z ni upotoshaji. Maisha si mepesi namna hii

    Kuna haja That Urgent need to have his videos banned in the country. Haiwezekani America.. everyone's dream aifanye kama huko MburAhati tu. Kama asemavyo yeye. Hii si sawa.
  5. Je, kuna namna Kiboko ya Wachawi anaweza kuletwa tena Tanzania ili afunguliwe mashitaka ya utapeli?

    Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi . 1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu? 2. Je, sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu? 3. Kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao...
  6. Kwa sera za namna hii, Tanzania inaweza badilisha hali yake ya kiuchumi na kuwa taifa imara ukanda wa Kusini mwa Afrika ama inahtaji mageuzi zaidi?

    Habari za jioni wana jamii leo nimekaa na kuwaza kuhusu nchi yetu ya Tanzania kwa kina na kwa upana sikuwa na budi bali kuandika haya mambo kwa sisi watanzania wote Tanzania ni nchi ambayo imekaa vizuri kijiografia yaani tumezungukwa na nchi nane tunaweza sema tisa tukiweka na visiwa vya...
  7. G

    Kwa namna ya uchezaji na midundo inayovutia, hizi ni ngoma za kikabila zilizonivutia zaidi

    1. WAHAYA - Ngoma zao nazielewa sana vile wanavyo tumia miguu kusigina na kutumia viuno na mikono, ni ngoma inayochezesha mwili mzima. 2. WAZARAMO - Napenda zaidi vyombo vya wapiga ngoma, ni vibe la hatari ila kucheza ngoma hakuna mpangilio. 3. WASAFWA - Hawa ni kabila lipo Mbeya, Ngoma zao...
  8. Vijana wa 2000's namna wanahesabu mapito yao! Gen-Z

    Vijana wa mwaka 2000 mpaka sasa inasemekana ni hatari sana. Wanahitaji ushauri. Vijana hawa wamekuwa wakionekana wakiwa wanashindana na "walipotokea" Huyu mwamba kwenye picha, kila akipita na Mdada anahakikisha anabaki na "kufuli"lake na kulibandika ukutani! SWALI KWA MSOMAJI: Je, wewe nguo...
  9. Flemu nyingi za biashara huku mitaani kwa asilimia kubwa zimejaa watu wa namna hii

    moja kwa moja... 1: Watu wanaofanya biashara kwa sababu hawana option nyingine ila wakiipata wanakimbia. 2: Ndugu za hao mabosi wamiliki wa hizo biashara. Ndugu mwema sio lazima awe mwema kwenye kusimamia mambo yako ya msingi. Ndugu hawa wengi hawana morali na hiyo kazi na wengine wengi...
  10. Yaliyompata Pinokyo: Inasikitisha kuwa kuna watu wazima bado wanatapeliwa namna hii.

    Nchi ingekuwa na utaratibu wa kusoma soma toka watu wakiwa wadogo, watu wengi sana wangeepuka kuishi Mji wa Mtego wa Wajinga. MBWEHA: Na fedha zako je? PINOKYO : Ninazo. Niliziweka mfukoni. Inakosekana pauni moja tu, niliyotumia kumlipa Bwana-hoteli. MBWEHA: Lakini niambie: umekwisha fahamu...
  11. CRDB MARATHON KAMA HUTAUDHURIA KWA NAMNA YOYOTE NIPE KIT

    Naomba kuuziwa kit ya marathon time hii kwa ambaye hutaweza kushiriki kwa namna yoyote na ulijiandaa, Mods msifute hii thread sababu watu hushindwa kwa namna mbalimbali ikiwemo msiba na safari hivyo sio mbaya kuomba backup, na hamna sehemu nyingine ya kuwapa backup isipokuwa hapa where we dare...
  12. Kuna Mwenye Uelewa au Uzoefu na Namna UFANDAO Inavyofanya Kazi?

    Habari wana JF Mimi ni jobless wa muda mrefu na nimeona nitafute njia za kupata mtaji nifanye project niliyonayo kichwani. Kuna mtandao unaitwa UFANDAO kwaajili ya ufadhili kutoka kwa watu mbalimbali endapo watashawishika na wazo lako. Kuna mwenye uelewa na namna inavyo-operate anipe hints...
  13. Ukimwangalia hapa Janabi. Ni kielezo cha Afya Bora ambalo Taifa linapaswa kuwa na watu wa namna hii.

    Janabi amekuwa akisisitiza sana ulaji mwema. Na "LISHE BORA" Huyu mtaalamu wa Vyakula na Lishe. Hivi ndivyo anatamani watanzania wote tuwe, tuwe na mwonekano huu wa Siha njema na Afya pia. Nawaza katika umri wake huu wa miaka 65 plus nadhani watanzania tuna mengi ya kuiga. Sijajua mkewe ana...
  14. Namna ya Kula pesa za Watanzania bila kutumia nguvu kubwa

    1. Anzisha Chama cha siasa, piga domo upate angalau Diwani, mbunge ruzuku kama zote. 2. Anzisha huduma za maombezi na kupata utajiri, utakusanya pesa za wavivu mpaka ukimbie, 3. Betting/Bahati Nasibu ya kujishindia Mamilioni kwa kucheza kwa Tsh 500 Tu. 4. Andaa matangazo ya ajira mishahara...
  15. Namna nchi za AFRIKA zinavyoeleza MAANA ya neno 'SERIKALI'

    Jisomee mwenyewe.
  16. Pre GE2025 Sikutarajia kama Rais Samia atakuja kuwa namna hii alivyo sasa!

    Nilidhan atakua mtu wa haki na mfata sheria na mkemea maovu ila kawa tofauti sana, ni kama vile hajari kabisa hali za wananchi. Zile 4R zake madhan ni kwa ajiri ya CCM na CDM na si vinginevyo. Tanzania haina taasisi imara, hivyo kauli ya kiongozi wa juu zinahitajika ili baadh ya mambo yaende...
  17. Namna ya kulinda mahusiano yako na mpenzi wako

    1. Hakikisha mpenzi wako hatilii shaka uaminifu wako. Kikwazo nambari moja kwa maisha ya mapenzi yenye afya ni mawazo ya ukafiri kuwa na wasiwasi na mpenzi wako 2. Maandalizi mazuri Kabla ya Mapenzi sio ajenda. Maisha ya mapenzi yenye afya huanza na maandalizi kati ya wawili Kwa kuvaa nguo...
  18. S

    Msaada namna ya kutatua changamoto hapo kwenye circuit breaker

    Hello habari! Naomba msaada hapo kwenye hiyo circuit breaker maana umeme umepata hitilafu kidogo ukajizima.
  19. A

    Habari za Wakati wanajamii; Napenda kufahamu Namna Gypsum (Calcium Sulphate) inavyotumika kupunguza Chumvi kwenye udongo shambani.

    Habari za Wakati wanajamii; Napenda kufahamu Namna Gypsum (Calcium Sulphate) inavyotumika kupunguza Chumvi kwenye udongo shambani.
  20. J

    SOMO: NAMNA BORA YA CHANJO ZA KUKU CHOTARA

    1. Baada ya kuanguliwa , Chanjo ya Marek's na Dawa HVT, Namna: sindano 2. Siku ya 2 hadi 6 KINGA ya Pullorum, Dawa: Trimazine 30% plus Vitamin, Namna: Maji 3. Siku ya 7, Chanjo ya Mdondo/Kideri (Newcastle), Dawa: Newcastle vaccine [LASOTA] Namna: Maji 4. Siku ya 14, Chanjo ya Gumboro, Dawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…