Habari,
Nia aibu kuona leo hii Waafrika wanawakana MABABU /MABIBI zao kwa kigezo cha yesu wa biblia na muhamad wa biblia wakati walioanzisha biblia na quruan bado wanaenzi tamaduni zao kwa kuwaenzi na kuwaabudu yesu/adam na muhamadi.
Ebu WAAFRIKA jitafakarini kwa akili zakulishwa na...
Habarini,
Kuna wimbi kubwa la WAAFRIKA wasiojitambua katika kutofautisha imani na ukweli kwenye maswala ya uumbaji hata baada ya kuwa wamesoma na kuelimika pasipo kutambua kuwa athari kubwa kuliko zote za UKOLONI na UTUMWA ni dini za kuja i.e:uislam na ukristo zilizokuja kuharibu mila na...
Nani kama mama,
Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna 😁 wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 😁😁 bora hata Baleke
Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za...
Kisa cha Ally Kamwe na Baba yake kinawasanua wabishi wote, sisi tumekaa pale tunawaangalia na haubadirishi msimamo, kuoa ni ushetani na kuoa ni gereza huwezi kwa ujinga wako na upofu ukabeba shida za mwanamke unachanganya na za kwako.
Wakati mwanamke anakuja na shida zake ili kujikwamua na...
Great thinkers.
Madalali wamekaa kiwizi wizi sana usipokuwa makini..imagine mteja unakuwa.forced kulipa commission how?
Na hili naona tumekubaliana kabisa kama taifa. Mi navyoona mwenye Mali ndiyo anapswa kumlipa dalali kwa kuwezesha biashara yake lakini.siyo mteja.
Naona watu wengi TZ bado...
Embu tuangalie uhalisia duniani kuna population kubwa ya wanaume masikini zaidi ya wanaume matajiri. Kuna rate kubwa ya wanaume wanaoanguka katika biashara na ajira zaidi ya wanaofanikiwa.
If behind every succesfull man there is a woman, then who is behind a failure man? Himself? He get blame...
Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ?
Tizama...
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni
Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.
Kwa maelezo yake anadai...
Wakuu, kilichotokea pale white house kati Zelensky dhidi ya Rais wa Marekani na Makamu wake ambapo Zelensky kagomea hadharani bila woga matakwa ya viongozi hao wawili wenye nguvu duniani, na ilifika wakati akabishana nao miamba hao tena wakiwa ndani ya himaya yao, je unadhani kiongozi gani wa...
Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka.
Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu?
Au Cosmos Chidumule?
Au hayati Tx Moshi?
Toka Jana Mwenyekiti yuko kwenye Harakati zake za kichama.
Online TVs zimepigwa Pini, hiii CHADEMA MEDIA mbona Iko nyuma sana ?.
Tundu LISSU Kwa Sasa anahitaji kutazamwa LIVE Masaa yote.
LISSU TIMUA HAO JAMAA WA CHADEMA MEDIA ,SAJILI VIJANA WAPYA.
Wakuu poleni na mahangaiko ya kusaka heshima(💰)
Wakati naendelea kuwaza na kuwazua jinsi ya kujiwekea Heshima yaani kuwa na pesa,nikapata wazo la kilimo lkn hapo hapo nikakutana na changamoto ya soko la uhakika,,,Basi nikapata wazo la kuwahusisha nyie wadau wapenda maendeleo,
J ili kutatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.