Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu.
Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya nguvu, nipo LINDI ila nipo tayari kwenda sehemu yoyote mda wowote.
Nawasilisha.
Shkamoo mama, najua protocol haziruhusu ila naomba unialike hata tusipo onana ni sawa, nahitaji tu kunywa chai ya ikulu na kupunga hewa kwa nusu saa kabla sijarudi mtaani kuendelea na utafutaji.
Ntashukuru sana mama japo sikubaliani na wewe katika mambo kadhaa ila natamani kunywa chai ya ikulu...
Wakuu naomba mnisaidie sehemu za kupata field ya mtu aliesomea kozi ya International Relations and Diplomacy, kwasababu nahangaika Hadi now sijapata field, yaani duuuuh!!!! 🤔
0787044620 my number
Msaada wadau maaana sielewi ni guse wapi navurugwa tu hapa mwenye idea jamani naomba masaada maeneo ya kugusa ili nisipishane na keki ya TAIFA hii TRA huko
Nimecheka sana kwa jinsi huyu Polisi alivyokuwa akisema kwani kasema Ukweli mtupu huku akitoa na Mifano ya Kiutani.
Nimeiona katika Mtandao wa Thread wa Mtu anayejiita Balozi wa Watu.
MSAADA wapendwa niliandika January mara mbili
NDUGU tunatesekea na ma pants YAAN usiku yanatembea kama watu
Mwanzoo TULIJUA nyoka darini YAAN wanatembea na kishindo kizitoo
Sasa hali n Tete watoto hawalali sisi hatulali YAAN tukianza kuhondomola na themeji YENU YAAN yanakuja KATIKATI usawa...
Wakuu habari .
Katika familia zetu kuna mengi ya kujifunza na kutengeneza hatima nzuri ya mtoto wako.
Kuna baadhi ya watoto wakipewa majina ya Babu zao huwa wanalia Sana Ila wakiwabadilishia hilo jina wanaacha kulia.
Je ipo siri gani hapo nyuma ?
Kuhusu athari baadhi ya watu wamekuwa...
Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu
Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi
1,hali ya hewani
2,aina nzuri ya mbegu
3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa mbegu nzuri
4, je zao la tangawizi linachukua mda gani shambani mpaka kuvunwa
5,jinsi ya kuvuna na...
HABARI WANA JAMII FORUM
Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao
1,upatikanaji
2,usafirishaji
3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara
4, mtaji wa chini kiasi gani
5,namna ya kutafuta soko
Habari waungwana
Naomba kujua watoa huduma ya Fiber Dar es salaam, kama utakuwa na mawasiliano yao itakuwa poa ukiweka ikibidi na bei za huduma zao pia.
Naomba kuwasilisha.
Ni mashine ya kukaanga karanga.
Nataka kuinunua hii kwa ajili ya biashara, natamani kujua ulaji wake wa gesi upoje, yaani kwa mfano mtungi mdogo wa kilo tano unaweza kukaanga karanga debe ngapi.
Lakini pia natamani kufahamishwa nisiyo yafahamu kuhusu hii mashine.
Msaada tafadhali.
Mwenye maiki ya kurekodia maudhui ya Youtube naomba anisaidie, nilinunua maiki ya K9 lakini haina sauti nzuri kabisa.
Kama kuna mtu ana maiki naomba anisaidie.
SINA HELA ZAIDI YA 20,000 tu ndio maana nimeomba mwenye nayo anisaidie.
Asante na mbarikiwe sana.
TBL naomba Ufafanuzi wa hizi bia mbili hapo kwenye picha
Moja imejaa mpaka juu na nyingine haijajaaa
Na hata Lebo na vizibo ni tofauti
Swali ni je kuna fake na original Kati ya hizi bia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.