Habari za pilika Na majukum.. Kuna kitu Naomba kufahamu kutoka kwenu wakuu.... Hususan waliosoma chuo cha NIT.. au ambao bado wanasoma..
Nina mdg angu anasoma pale NIT ila hadi leo analalamika hajaingiziwa hela ya boom
Wakat kwa madai yake ilitakiw apewe mwez Huu mwanzon (November)...
Nimekuja kwenu wadau natafuta msaada Kuna shida imetokea wakati najaribu kuverify account kama vile wanavyotak nimejaribu kwa kitambulisho cha taifa nida, leseni, bank statement naona wanakataa Google developer sijui wanataka Nini
Msaada account yangu ipo suspension
Msaada kwa mwenye uzoefu
Please wapendwa, naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras, jinsi ya ku operate, aina zake, bei na wapi zinakopatikana, pia apart from homes, je naweza itumiamawneo yapi mengine, I am so ignorant about it.
So ningependa kuwa enlightened, Dunia inaenda Kasi jamani.
Your contributions would be...
Kuna chuo kinaitwa Ebonite cha Kimara Bucha kinatoa Diploma ya Ualimu kwa Kiswahili.
Hii diploma ni halali na nikitaka kuthibitisha uhalali wake nafanyaje!?
Wakuu naomba mnijuze vipindi vya Crown FM Radio na watangazaji wa vipindi hivyo maana kuna jamaa anaisifia sana hiyo redio.
Tangu Crown FM ianzishwe sijabahatika kuisikiliza zaidi ya kuambiwa na huyo jamaa kuwa ni bonge la redio hapa nchini Kwa sasa.
Mwili ulinisisimka Kwa jinsi jamaa...
Nilikuwa naongea na watoto (wanafunzi) kama 100 hivi. Basi katikati ya maongezi ikanijia chafya, nikaziba mdomo tu nilijua kuwa sina tatizo lolote na ni chafya ya kawaida tu kama zile zingine. Ajabu ni kuwa nilipopiga tu ile chafya lilitokea pande kubwa puani la kamasi mbichi na nzito sana...
Habari zenu ndugu zangu,
Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia
Naombe ushauri wenu?
Kuna mvutano kidogo kuhusu rangi za jezi,katiba ya yanga inataja rangi za klabu ni njano,kijani na nyeusi,sasa jezi zilitolewa safari hii hasa za mashindano ya kimataifa,ni tofauti na hizo zilizotajwa kwenye katiba,je katiba imevunjwa?Wataalamu wa sheria naomba ufafanuzi
Habarini familia ya JF;
Poleni na Musiba na Majanga ya Kariakoo.
Naomba kujua Mimi niko na Namba za NIDA Muda mrefu sana ila sina kitambulisho cha Nida
Sasa kinatakiwa haraka kuna mtu Kaniambia Niende tuu kwenye Stationery wanayotoa Copy pia Nitengeneze ila kitakuwa kama Copy ila kina Nembo...
Nataka kuwa wakala wa kuuza magodoro ya TANFOAM ARUSHA, naweza kupata mawazo jengefu zaidi kuihusu hii biashara.
Nataka niuze mattress, mataulo, mashuka nk. Mbeleni niongezee vitanda pia.
Hii biashara changamoto zake ni zipi na faida yake imekaaje kwa wenye ujuzi nayo tafadhali.
Ahsanteni.
Habari wana JF katika jukwaa letu hili pendwa,
Nina shahada ya sayansi katika kemia UDOM.
Sijabahatika kupata kazi serikalini kama mnavojua ugumu ulivo lakini nimefanya kazi katika kitengo cha ubora ( Asst lab tech na Quality supervisor) katika kiwanda cha kuchakata samaki ambapo kimsingi...
Ndugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.
Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa...
Mwanangu amemaliza darasa la saba na amepata alama hz
Ana c moja tu
D nne
Na e moja
Naomba walimu mnijuze km kuna uwezkano wa huyu dogo kupangiwa shule na selikali
Wakuu nadhani mtakuwa wazima Afya .
Ndugu zanguni nimekuja na ombi langu kwenu,na siku zote jamii forum ni sehemu imejaa waungwana kweli kweli.
Ombi langu ni kufahamishwa chimbo la vifaa vinavotumiwa zaidi na mafundi seremala Kama vile tapes,misumari,msasa,gundi ya mbao aina zote,vanishi nk...
Hello wakuu.
Ningeomba kufahamu, ni nyimbo gani zinaweza kua identified kua hizi ni za asili halisi ya Kitanzania, yaani Bongo-Flava.
Maana kwa wingi muziki wetu wa nyumbani umekua influenced na miondoko ya nje, tofauti ikiwa tu ni lugha ndio Kiswahili.
Sasa, kwa wale wadau wa haya mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.