Kuna jirani yangu alipora kipande cha ardhi yangu kwa kuwa sikuwepo kwa muda wa miaka 4 pale nyumbani. Niliporudi na kuona hivyo, nilifungua kesi katika Baraza la Kata.
Baraza lilifika kuangalia eneo husika linalogombaniwa ikiwa ni pamoja na mashahidi wa pande zote mbili kutoa ushahidi wao...
Wale ambao mna watoto au ndugu zenu Ila tayari wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Sigara na Bangi naomba tuwasiliane ili niwapatie matibabu.
Tupo na kituo cha rehabilitation (Rehab) Kwa ajili ya HUDUMA zifuatazo:
1. Waathirika wa pombe , bangi na madawa
2. Huduma za kisaikolojia...
Za saizi wakuu!
Nafanya kazi private sector.kuna sehemu nafanya kazi nalipwa 1.2m hapa Dar,lakini katika harakati za hapa na pale nikafanya interview sehemu nikapata mshahara ni 1m.
Sasa kilichonifanya niombe ushauri ni mwajiri wangu wa sasa anaoperate kazi zake very local yani halipi NSSF...
Habari wakuu.
Baada ya kugundua kuwa sina uwezo wa kujenga,kununua gari au kwenda mavacation nimeona nifurahie maisha kwa japo kula vizuri kama matajiri.Starehe na anasa yangu iwe kula vizuri.
Uwezo wa kula vizuri ninao ila siridhiki na vitu ninavyokula.Najikuta kila siku nakula vitu vile vile...
Habari za leo wakuu, hongereni na majukumu,
Kama kichwa cha habari kinavoeleza, kwa mzoefu tafadhali, naomba kupata kujua zaidi pikipiki ya.
1. Sinoray cc 180-18 (PUSHROD) na
2. Sinoray cc 180-18(TIMING CHAIN).
Katika vigezo vifuatavyo,
1. Ubora na uimara
2. Re- sale value na kadhalika...
Nikirejea tamko la Waziri wa Ulinzi katika Bunge la Tanzania tarehe 13 -06-2024, siku ya Alhamisi. Bunge la 12 kikao cha 15. Taarifa ya Waziri ya Ulinzi katika taarifa yake moja ni wanajeshi wote waliopigana katika vita vya Kagera wote wameishalipwa.
CPL NGUSSA GULINJA 692 DET ni mmoja wa...
Anonymous
Thread
kagera
kujua
kwani
majibu
malipo
msaada
nani
naomba
vita
vita ya kagera
yangu
SELIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO TANZANIA IMESAINI MKATABA WA UKARABATI WA UWANJA WA TAIFAA.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa.
Amesema maboresho hayo yatafanyika katika...
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .
Na hawa ndo watumishi wa kweli .
Nitatoa ushuhuda ufuatao .
Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless ...
Niliwahi kuandika hapa juu ya kinachoendelea katika baraza la La Ardhi wilaya mwanza
Nina Mambo mengi ambayo nitayaongea huko mbele baada ya kesi kuhukumiwa. Na ushahidi wetu uko kwenye sauti na message. Nitapenda viongozi wote wa selikari wanasheria. Mawaziri wote na kila kiongozi asikie...
Habari wanajamii,
Naitwa Allen, Samahani Kwa usumbufu, natambua mna mambo mengi ya kufanya ila kwa MDA wako umeamua kupitia Uzi huu🙏🏿,
Napitia changamoto ya Usikivu hafifu Kwa takribani miaka mitano (5) hali ambayo imeathiri sana maisha yangu ya kila siku. Nimezunguka HOSPITALI tatu (3)...
Please Moderator msiunganishe huu uzi maana mtakuwa mmefeli big time.
First of all naipongeza serikali Kwa kufikiria wazo la kuwasaidia wasanii kuhusu kutibiwa magonjwa ya moyo
Hili wazo sio baya Ila napendekeza mjaribu kuliboresha kwa kuhakikisha wasanii wote ambao wanajihusisha na sanaa...
Hbr wana jamvi/wajenz tukiw Tamati kbs mwa mwak 2024 .
Nmejivuta ndan ya miak 3/4 katk ununuaji wa kiwanj na kuanz ujenz ,
Hatua niliyopo sasa nimekamilsha msingi wa room 3 sebule (•room mbili ni master) jiko na sehemu ndogo ya kula
Lengo mwakn natak niwe na 10m. Ya pamoja vp itawez...
Habari zenu,
Naomba kufahamu kwa mtu alekuwa akifanya kazi shirika zisizo za Kiserikali kisha akahamia taasisi za umma, akiwa shirika binafsi alikuwa akichangia kwenye mfuko wa jamii la NSSSF.
Je, akihamia Serikalini huyu mtu ataweza kutoa mafao yake NSSSF?
Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa...
Wataalamu wa computer nimepata wakati mgumu nilipo taka kujifunza programming language kwaajili ya kutengeneza android+iOS app, desktop app, games na website nilishauriwa nianze na C programming .
Kwa Sasa nimemaliza ila napata wakati mgumu kwani language zipo nyingi na ambayo ni the best...
Habari kaka... naomba ushauri mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 25
Nina ishi na mpenzi wangu niliezaa nae tunamiaka 8 mpaka sasa. Naomba ushauri kwani mimi najiona kabisa nakaribia kukata tamaa huyu kaka toka nimekua nae kwenye mahusiano alikuaga hana kazi mimi nikajitahidi pale nilipokuaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.