Habari wana JamiiForums,
Mimi ni mtaalam wa kuunda software za simu na kompyuta. Natamani kutengeneza mfumo wa logisitics/delivery ambayo itagusa kila mfanyabiashara ambaye biashara yake inafanya delivery ndani na nje ya mkoa husika. Sijaona mifumo inayogusa maeneo hayo moja kwa moja...
The link is on his bio click it and it'll open a browser, select "sports creator of the year " category, scroll down until you see @zerobrainer0 then VOTE NOW
https://vm.tiktok.com/ZMkSX5WBV/
Naomba kujua changamoto mnazokutana nazo katika mfumo wa TARURA wakulipia maegesho watu mnaomiliki vyombo vya moto hasa katika vipengele hivi;
1.Uharaka katika kufanya malipo.
2.Usahihi katika gharama na muda uliotumika.
3.Usaidizi wakati wa kuegesha
4.Kujua sehemu sahihi ya kupaki iliyowazi...
Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa.
Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama najua wataalam wa fursa mpo unaweza ukawa umeona sehemu inayofaa nitashukuru ukinipa ushauri.
Kuna...
Kwa mujibu wa quruan ni kwamba mwanaume wa akislamu akifa mwema anapewa wanawake bicra 72 hukoo peponi sada jee mwanamke akiwa mwema yeye atapewa wanaume 72? .
Naomba niwashauri wanaume wenzangu, mwaka mpya huu wa 2025 unataka kufanikiwa chagua mdada mmoja bonge mzuri anayejitambua jiweke hapo tulia utafanya maendeleo haraka sana.
Wadada mabonge wanajua kupenda sana wametulia ukimpenda anaridhika hawana tamaa hata kidogo.
Wanajielewa na wengi unakuta...
Nipo Kibaigwa Dodoma natafuta mtu ambae yupo dar es salaam au Morogoro ambae atakua ananiuzia na kunitumia kwa njia ya basi bidhaa zifuatazo
1. Bahasha no. 3- original na ya kawaida
2. Blubendi ndoo ya lita10
3. Foili
4. Radha za aina mbalimbali kwaajiri ya cake.
Kama upo tayari naomba...
Mimi ni mchumi kutoka chuo Cha ushirika Moshi(MoCU)
TITLE: MR
PROFESSION: ECONOMIST
EXPERIENCE: FRESH GRADUATE
LOCATION: MBEZI-DAR ES SALAAM
Naomba kazi yoyote halali ambaye daily naweza pata kuanzia 10k .
*Naweza kuandika (Research)
* Naweza kufanya data analysis kwa kutumia SPSS na Excel...
Huwa napata shida sana tangu niko mtoto na hii inaniumiza sana binafsi mm Siamini dini yeyote kati ya ukristo wala uislamu sasa hivi mnaavyosema ety Jerusalem maka na madina ni miji mitakatifu mna maana gan kwaiyo huku kwetu africa dar es salaam nairobi Accra Lusaka adis Ababa Kampala Ni...
Kuna hoja za kijinga ambazo Machawa wa Mbowe wamezianza kuwa kuna mpango wa mapinduzi Chadema. Ni hoja ambazo waliziibua tena mwaka 2013 na bila kujua tuliziunga mkono.
Kipindi hiki zimekuja tena baada ya Mbowe kupata mpinzani kwenye kiti chake alichokifanya "Ni chake cha enzi" Yani Uenyekiti...
Ebwaana Eeh Kilichonikuta jana Kabla ya mkesha wa Xmass Ni balaa!
Kuna kimchepuko kimoja nilikipenda kutokana na kuwa ni kizuri sana na kina umbo zuri sana nikaona sio mbaya nikitongoze..
Mtoto yule nimemtongoza Ila akawa ananitolewa nje ooh Mimi nakupenda sana ila ningependa tuwe kama kaka na...
Heri ya Krismas.
Ikulu kuu ya Taifa ya Chamwino iliyopo Dodoma ni Ikulu namba moja duniani kuwa na eneo kubwa sana la Aridhi. Sijasema ni Ikulu kubwa bali ndiyo namba moja kuwa na aridhi kubwa iliyotengwa kwa eneo la Ikulu tu. Majengo tu yamechukua ekari nane na eneo kubwa sana bado limebaki...
Pamoja na covid-19 kubeba uongozi wa juu wa BAWACHA, lkn pia Kuna:-
1. Mke wa Benson Kigailla.....naibu katibu mkuu bara.
2. Mke wa Salum Mwalimu (naibu katibu mkuu Zanzibar).
3. Mke wa Ally Bananga (yuko ccm sasa).....alikuwa meneja kampeni wa mgombea urais wa chadema.
Bila shaka kama Mnyika...
Wana jf (hasa wabangaiza wezangu) amani ya Bwana imetawala ,kila mmoja kwa imani yake .
Mada hapo juu yahusika .
Mimi kama mbangaizaji wa kila siku ,tafadhali sana naomba mwaliko wa sikuu kwa wabangaiza wenzangu, matajiri kaa mbali na andiko hili.
Wabangaizaji wenzangu mpo , popote pale...
Tatizo ni kwamba, nikinunua umeme kisha nikaingiza Token, inaandika "error 77" na Token haziingii.
Kwa sasa ni zaidi ya wiki tatu naongea na watoa huduma wa ngazi mbalimbali wakiniahidi kuwa mafundi wa karibu watafika kutatua tatizo lakini hakuna kinachoendelea mpaka sasa.
Kila nikiwapigia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.