Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Heshima kwenu moderators wa jamii forum, bila kuzunguka sana mimi raisi wa ma jobless pro max naomba ulinzi wenu siku ya leo humu jukwaani.
Ni kweli naipenda timu ya aArsenal ila inanitesa sana, sasa timu initese na hawa madogo wa JF wanizingue ah wapi.
Hakikisheni mna piga ban, yeyote atakaye ni-mention au kuni-quote mada ya mpira.
Usi shangae mimi kuomba ulinzi, hawa madogo wa Manzese, Mabibo sokoni, Tandale hawana adabu aisee.
Mi mtu mzima nina familia, halafu kesho j3 japo nalala mpaka saa 6 mchana ila sipendi stress gadamit.