Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
atulie dawa imuingie asije kuvunja sindano😁Bwashe Tulia ukazwe 😂
atulie dawa imuingie asije kuvunja sindano😁Bwashe Tulia ukazwe 😂
Bwashe Tulia, kunywa maji, hakikisha n masafi na salama ili upunguze kisukari 😂Bwashee mwenyewe, dada ako lady jd so una jikuta una kelele
Akitingishika tuu itabidi tumfanyie oparesheni kutoa sindano 😂atulie dawa imuingie asije kuvunja sindano😁
Jamaa unamheshimu vzr Kumbe anashabikia arsenyeto 😂
aseno ni kichwa cha mwendawazimuJamaa unamheshimu vzr Kumbe anashabikia arsenyeto 😂
Kila. Timu inajipigia tuuaseno ni kichwa cha mwendawazimu
Mpira ni pointless distraction.Heshima kwenu moderators wa jamii forum, bila kuzunguka sana mimi raisi wa ma jobless pro max naomba ulinzi wenu siku ya leo humu jukwaani.
Ni kweli naipenda timu ya arsenal ila ina nitesa sana, sasa timu initese na hawa madogo wa jf wani zingue ah wapi.
Hakikisheni mna piga ban, yoyote atakaye ni mention au kuni quote mada ya mpira.
Usi shangae mimi kuomba ulinzi, hawa madogo wa manzese, mabibo sokoni, tandale hawana adabu aisee.
Mi mtu mzima nina familia, halafu kesho j3 japo nalala mpaka saa 6 mchana ila sipendi stress gadamit.
View attachment 3575557
Huyu dogo mtambandua kwa mara nyingine, Muacheni kdg kisukari kishuke nisije kupata kesi ya mauaji Mm 😂Kwani JF yoote wewe pekee ndo shabiki wa ass anal uliebakia humu jukwaani?
Anyways kwa furaha niliyo nayo leo sina hata la kuongea
Ikizidi sana itabidi tuandae physical meeting kati yako Intelligent businessman na Mbaga Jr ili mkutane mzichape vizuri
Tukichukulia kila kitu kwa dhana hii, utakuta maisha is full of nonsense.Mpira ni pointless distraction.
Pointless performative distraction.
Fight me on this one.
Yeah. Lakini nonsense nyingine za kujitakia, ndiyo mpira huo sasa.Tukichukulia kila kitu kwa dhana hii, utakuta maisha is full of nonsense.
Nilikuja nikajifanyia tathimini nikaona mpira ni nonsense nika declare sitozungumzia mpira kwa 10yrsYeah. Lakini nonsense nyingine za kujitakia, ndiyo mpira huo sasa.
Ukienda shule upate ujuzi wa kugundua dawa itakayotibu saratani, that is not nonsense.
Kuangalia na kubishana kuhusu mpira ambao hata huuchezi ni nonsense.
Kwan ww kila kitu unachofanya kwenye maisha yako n faida tuu, I mean Hakuna kitu unafanya kwa ajili ya kujiburudisha?Yeah. Lakini nonsense nyingine za kujitakia, ndiyo mpira huo sasa.
Ukienda shule upate ujuzi wa kugundua dawa itakayotibu saratani, that is not nonsense. Ukifanikiwa hapo unasaidia watu in an objective way.
Kuangalia na kubishana kuhusu mpira ambao hata huuchezi ni nonsense.
Awe mpole sasa asiwe anapandisha besi hiyoHuyu dogo mtambandua kwa mara nyingine, Muacheni kdg kisukari kishuke nisije kupata kesi ya mauaji Mm 😂
Anaangalia kombolela na mke wake sa h, ameamua kuhamishia mapenzi yote kwa mke wake leo 😂Awe mpole sasa asiwe anapandisha besi hiyo