Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Kama kichwa cha habari kisemavyo ningependa kufahamishwa kwa kina juu ya mtambo huu unaojulikana kama excavator, aina gani ni nzuri,imara na inayodumu muda mrefu,pia wapi inaweza kupatikana kwa bei nafuu kidogo!
Asanteni,wasalaam.
Inshaallah.
Asanteni,wasalaam.
Inshaallah.