Wataalamu wa Speakers & Mic(Sound system) naomba ushauri wenu tafadhali

Nahitaji Speaker na Mic mbili zile zinazotumika sana kuhubiria Injili barabarani(mitaani).

Naomba mnishauri ni aina(brand) ipi ina ubora wa sauti, portable na sifa nyingine muhimu za ziada.
Natanguliza shukrani šŸ™
Naona nabii feki na mtume feki unachipukia....sadaka ni tamu sana😁
 
Nahitaji Speaker na Mic mbili zile zinazotumika sana kuhubiria Injili barabarani(mitaani).

Naomba mnishauri ni aina(brand) ipi ina ubora wa sauti, portable na sifa nyingine muhimu za ziada.
Natanguliza shukrani šŸ™
Mkuu humu ndani Kuna mazombie ya shetani yatakuvania Bora uzunguke uulize vwenzio
 
Back
Top Bottom