fact only
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,481
- 4,014
Kwema Wakuu.
Yamenikuta majanga wakuu mpaka kufikishana polisi then baadae mahakamani kwa Madai ya wizi(mashine za kampuni). Ilinipa changamoto sana katika hatua za mwanzo kutatua hii changamoto pesa zilikuwa zinanitoka tu lakini hakuna matumaini.
Kuanzia polisi mpaka mahakamani na mpaka sasa kesi bado haijaisha hivyo naombeni uzoefu/stori zenu wakuu mlitatua vipi changamoto kama hizi?