Wakuu naomba Tupeane uzoefu ulifanyaje, ulijinasuaje, ulimchomoka vipi au ulishinda vipi kesi Polisi/Mahakamani?

Wakuu naomba Tupeane uzoefu ulifanyaje, ulijinasuaje, ulimchomoka vipi au ulishinda vipi kesi Polisi/Mahakamani?

Kwanini unahonga wakati unadai hujaiba?
Nna shaka!

Court kataa kila kitu...kubali jina tu mengine kataa hata umri, we waambie mahakama izibitishe kils kitu kiletwacho khs wewe
Pamoja mkuu issue ilikuwa kukaa ndani ndiyo shida.
 
Back
Top Bottom