Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,058
[emoji23][emoji23]Njoo Kwa Msisi tukupatie tiba. Hiyo Kampuni itasahau kuhudhuria mahakamani kutoa ushahidi, na mwisho wa siku kesi itafutwa.
[emoji23][emoji23]Njoo Kwa Msisi tukupatie tiba. Hiyo Kampuni itasahau kuhudhuria mahakamani kutoa ushahidi, na mwisho wa siku kesi itafutwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namjua mtu mmoja tulikuwa nae kwenye msala mmoja, aliloga kuanzia RPC na RCO wake hadi Hakimu, kesi namna ilivyoisha mie mwenywe nilishangaa, sikuelewa iliishaje yani [emoji16][emoji16][emoji16]..
Hizi kesi watu wanaroga sana.Namjua mtu mmoja tulikuwa nae kwenye msala mmoja, aliloga kuanzia RPC na RCO wake hadi Hakimu, kesi namna ilivyoisha mie mwenywe nilishangaa, sikuelewa iliishaje yani 😁😁😁..
Ni typing error tu mkuu.Samahani Mkuu me sio white.
Kama una kesi ya kweli basi unapanga kushindwa hiyo kesi.Kwema Wakuu.
Yamenikuta majanga wakuu mpaka kufikishana polisi then baadae mahakamani kwa Madai ya wizi(mashine za kampuni). Ilinipa changamoto sana katika hatua za mwanzo kutatua hii changamoto pesa zilikuwa zinanitoka tu lakini hakuna matumaini.
Kuanzia polisi mpaka mahakamani na mpaka sasa kesi bado haijaisha hivyo naombeni uzoefu/stori zenu wakuu mlitatua vipi changamoto kama hizi?
mwenye kalamu ya hatma yako,case yenyewe ipo stage ganiSina experience mkuu, issue kama sijawi experience before.
Umesema kesi ikifika mahakamani natakiwa kumuona mtu mmoja tu naomba msaada wako mkuu(mtu mmoja).
Kataa kila kitu mahakamani.Ushahidi wa moja kwa moja hawana, hivyo nawekwa hatiani kwa sababu machine zilikuwa chini ya uangalizi wangu so nimeambiwa neeleze machine ziko wapi.
Hapana sijaiba.
Kwanini unahonga wakati unadai hujaiba?Pesa unapenyeza mkuu lakini inakuwa too much cuz kila kona wanataka pesa alafu issue haiwi solved, pia inauma sana unatoa pesa nyingi kwenye kesi ambayo si kweli at least ningekuwa nimepiga deal kweli.
Thanks for your concern Mkuu.Kama una kesi ya kweli basi unapanga kushindwa hiyo kesi.
Kwa hiyo wewe unaamini ni wewe tu unayeingia JF? Kwamba wale wa upande mwingine wote hawaiingii hapa?