Mwenyeji au mtu anayeifahamu Simanjiro DC ya huko Manyara naomba ABC zake

Mwenyeji au mtu anayeifahamu Simanjiro DC ya huko Manyara naomba ABC zake

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,994
Reaction score
4,446
Wakuu nimehamishwa kikazi na kupelekwa halmashauri ya wilaya ya simanjiro iliyopo mkoani manyara lakini ni sehemu ambayo sijwahi ata kukatiza

Je sehemu hiyo ikoje kwa wanaoifahamu
Kiuchumi
Kiutamaduni
Kijamii
 
Back
Top Bottom