naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba kufahamishwa kuhusu hiki kitu..

    Habari za pilika Na majukum.. Kuna kitu Naomba kufahamu kutoka kwenu wakuu.... Hususan waliosoma chuo cha NIT.. au ambao bado wanasoma.. Nina mdg angu anasoma pale NIT ila hadi leo analalamika hajaingiziwa hela ya boom Wakat kwa madai yake ilitakiw apewe mwez Huu mwanzon (November)...
  2. Naomba msaada kuverify google developer account

    Nimekuja kwenu wadau natafuta msaada Kuna shida imetokea wakati najaribu kuverify account kama vile wanavyotak nimejaribu kwa kitambulisho cha taifa nida, leseni, bank statement naona wanakataa Google developer sijui wanataka Nini Msaada account yangu ipo suspension Msaada kwa mwenye uzoefu
  3. F

    Naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras

    Please wapendwa, naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras, jinsi ya ku operate, aina zake, bei na wapi zinakopatikana, pia apart from homes, je naweza itumiamawneo yapi mengine, I am so ignorant about it. So ningependa kuwa enlightened, Dunia inaenda Kasi jamani. Your contributions would be...
  4. T

    Naomba kujuzwa uhalali wa Diploma ya Ualimu kwa Kiswahili?

    Kuna chuo kinaitwa Ebonite cha Kimara Bucha kinatoa Diploma ya Ualimu kwa Kiswahili. Hii diploma ni halali na nikitaka kuthibitisha uhalali wake nafanyaje!?
  5. Naomba mnijuze vipindi vya Crown FM pamaja na watangazaji wa hivyo vipindi

    Wakuu naomba mnijuze vipindi vya Crown FM Radio na watangazaji wa vipindi hivyo maana kuna jamaa anaisifia sana hiyo redio. Tangu Crown FM ianzishwe sijabahatika kuisikiliza zaidi ya kuambiwa na huyo jamaa kuwa ni bonge la redio hapa nchini Kwa sasa. Mwili ulinisisimka Kwa jinsi jamaa...
  6. D

    Nimeumbuka, naomba msaada wa kisaikolojia ndg zangu!

    Nilikuwa naongea na watoto (wanafunzi) kama 100 hivi. Basi katikati ya maongezi ikanijia chafya, nikaziba mdomo tu nilijua kuwa sina tatizo lolote na ni chafya ya kawaida tu kama zile zingine. Ajabu ni kuwa nilipopiga tu ile chafya lilitokea pande kubwa puani la kamasi mbichi na nzito sana...
  7. Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naogopa watanichukuliaje?

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia Naombe ushauri wenu?
  8. F

    Naomba ufafanuzi kuhusu rangi za taasisi

    Kuna mvutano kidogo kuhusu rangi za jezi,katiba ya yanga inataja rangi za klabu ni njano,kijani na nyeusi,sasa jezi zilitolewa safari hii hasa za mashindano ya kimataifa,ni tofauti na hizo zilizotajwa kwenye katiba,je katiba imevunjwa?Wataalamu wa sheria naomba ufafanuzi
  9. Naomba msaada kuhusu uhalali wa nakala ya kitambulisho cha taifa

    Habarini familia ya JF; Poleni na Musiba na Majanga ya Kariakoo. Naomba kujua Mimi niko na Namba za NIDA Muda mrefu sana ila sina kitambulisho cha Nida Sasa kinatakiwa haraka kuna mtu Kaniambia Niende tuu kwenye Stationery wanayotoa Copy pia Nitengeneze ila kitakuwa kama Copy ila kina Nembo...
  10. E

    Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya magodoro

    Nataka kuwa wakala wa kuuza magodoro ya TANFOAM ARUSHA, naweza kupata mawazo jengefu zaidi kuihusu hii biashara. Nataka niuze mattress, mataulo, mashuka nk. Mbeleni niongezee vitanda pia. Hii biashara changamoto zake ni zipi na faida yake imekaaje kwa wenye ujuzi nayo tafadhali. Ahsanteni.
  11. Naomba mwenye kujua mahali naweza pata nafasi Quality assurance officer

    Habari wana JF katika jukwaa letu hili pendwa, Nina shahada ya sayansi katika kemia UDOM. Sijabahatika kupata kazi serikalini kama mnavojua ugumu ulivo lakini nimefanya kazi katika kitengo cha ubora ( Asst lab tech na Quality supervisor) katika kiwanda cha kuchakata samaki ambapo kimsingi...
  12. M

    Naomba msaada jinsi ya kuweka rangi maandishi ya JF

    Ndugu zangu wana JF, naomba msaada jinsi ya ku highlight, kuweka rangi nk, humu JF. Ahsante.
  13. Naomba ushauri; Nipo kwenye dimbwi la mawazo baada ya kutembea na mwathirika wa UKIMWI

    Ndugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25. Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa...
  14. Naomba Usharuri Mimi ni kijana wa Mwaka wa Kwanza Computer Science Nina shauku ya kutoka na GPA kuanzia 4.5 mpaka 5 Je nizatie jambo gani na gani?

    Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
  15. K

    Naomba ushauri

    Mwanangu amemaliza darasa la saba na amepata alama hz Ana c moja tu D nne Na e moja Naomba walimu mnijuze km kuna uwezkano wa huyu dogo kupangiwa shule na selikali
  16. E

    Kwa ridhaa yenu wanaJF naomba timuongeze huyu kijana katika wale watu wawili

    Nimemfuatilia sana na kujiridhisha huyu ni Uto anaejielewa
  17. Naomba kufahamu chimbo la vifaa vya seremala kariakoo

    Wakuu nadhani mtakuwa wazima Afya . Ndugu zanguni nimekuja na ombi langu kwenu,na siku zote jamii forum ni sehemu imejaa waungwana kweli kweli. Ombi langu ni kufahamishwa chimbo la vifaa vinavotumiwa zaidi na mafundi seremala Kama vile tapes,misumari,msasa,gundi ya mbao aina zote,vanishi nk...
  18. Naomba Kufahamu Mifano Ya Nyimbo Zinazoweza Semwa Zina Asili Ya Bongo-Flava

    Hello wakuu. Ningeomba kufahamu, ni nyimbo gani zinaweza kua identified kua hizi ni za asili halisi ya Kitanzania, yaani Bongo-Flava. Maana kwa wingi muziki wetu wa nyumbani umekua influenced na miondoko ya nje, tofauti ikiwa tu ni lugha ndio Kiswahili. Sasa, kwa wale wadau wa haya mambo...
  19. Naomba Ushauri mtoto awe "anapata ufaulu mzuri" Je, nifanyaje?

    Naomba kujua kutoka kwa wazazi wenzangu ambao watoto wenu wanapata matokeo bora, siri ama mbinu gani mnatumia hapo nyumbani mtoto afaulu? Nawasilisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…