katiba ya jamhuri ya muungano ya mwaka 1977 yenye marekebisho madogo,nimeona katika kifungu namba 34 ibara ndogo ya sheria 4 na 5 yenye kipengele a na b,nimepata ugumu kufahamu naomba nifahamishwe.
(4) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii,
madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu pamoja na madai kuwa mayahudi wamekuwa wakiua Mitume mara kwa mara, bado Qur'ani tukufu haijataja majina ya mitume hao.
Je ni manabii gani hao ambao Wayahudi wanadaiwa kuwaua?
Je nini madhumuni ya mashambulizi haya ya mara kwa mara dhidi ya Wayahudi...
Kwa mnaojua au mnaofuga Paka me Nina swali moja Kwa mfano nyau kazaliwa leo halafu ukamtenga na mama yake je atajua umuhimu wa kufukia kinyesi chake?? Na kama atajua ni nini hiko kitachomwongoza?
Naogopa kupigwa naomba msaada. Kichwa hapo juu kimeongea.
Naona bei kwa kule ni 3346USD
Kwa nilivyosikia bei inakua mara mbili
8883630 x2 haikosi 18,000,000
Wakuu ndivyo??
Wataalam.
Ninatumia hii router ya Airtel 5G, sasa kwa hapa nyumbani nikirun test inanipa hizi download na upload speed:
Je, ni speed nzuri? Nimelipia ile ya Elfu 70. Nikirun speed uwa inakuja 10Mbps hadi 15Mbps.
Kwa YouTube 720p kwenye TV inaenda vizuri, buffering mara chache especially...
Habari wana JF,
Husika na kichwa hapo juu. Naomba kufahamishwa ada ya diploma ya nursing kwa mwaka ni shilingi ngapi?
Pia, gharama za hostel zao ni shilingi ngapi kwa mwaka na je, mwanafunzi anaweza pata hostel kwa miaka yote mitatu?
Naomba kwasilisha, mnaojua mnisaidie!
Habari wa kuu.
Nikiwa naperuzi kuangalia kozi mbalimbali kwenye guide book ya TCU kwa mwaka 2024/2025 nilipofika chuo cha kampla nikakuta hiyo kozi.
Naomba kufahamisha utofauti wake kimajukumu katika kozi hizo mbili.
Kama ni kweli kutokana na Mkatoliki Mmoja kuniambia kuwa anayetakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu / Mkate wa Bwana hasa Siku za Ibada za Jumapili na nyinginezo ni yule tu ambaye Kaungama dhambi zake Siku ya Alhamisi ya Wiki husika basi nina uhakika wa 100% Dhambi ambazo GENTAMYCINE ninazo mpaka...
Na nitaomba pia kama kuna Mwanajeshi yoyote yule hapa JamiiForums mwenye Kamusi Maalum ya maneno ya Kijeshi ya Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili aniwekee hapa au aniambie naweza kuipata wapia.
Asanteni Maafande.
Kama kichwa cha Habari kinavyosema, zaidi ya wiki sasa imepita toka nilete hii changamoto iliyopo katika lugha yetu ya Kiswahili.
https://www.jamiiforums.com/threads/naomba-neno-moja-tu-la-kingereza-ambalo-halina-tafsiri-rasmi-ya-kiswahili.2228322/page-9#post-50651130
Nashukuru kwa wale wote...
Kuna watu wanataka Mo atoke Simba kwa kupigwa na mawe. hivi vituko wanavhosema vinaletwa na Mo mwenyewe ni mtego.
Siamini kama kweli Ni viongozi wa Simba ndio waliomleta hiki kiituko na kumpa umeneja. Au kuna watu wa Yanga wamepenyezwa kuiua simba kabisa.
Hapa tuwe wakweli hii Timu bora ata...
Uku niliko mitandao mingine imekuwa tabu sana ninafanya mawasiliano network inakuwa chini mno
Isipokuwa halotel sasa juzi nimesajili haloteli na kiufupi iko vizuri. Lakn kuna mdau akanambia ningesajili laini ya chuo coz ina ofa kabambe mf: yeye hupewa 3000Tsh kila mwanzo wa mwezi. Je hii ni...
WanajF naomba mnisaidie hasa wale wanaotumia App ya UTT Amis! Nilifungua akaunti kwa kutumia hiyo App sasa pale kwenye usajili wa namba ya simu ya kutumia inanitaka niingize OTP wanayotumia kwenye simu!
Baada ya kuweka hiyo OTP inakubaliwa na kunitaka niingize namba ya siri!Ajabu kila namba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.