Hii nchi imejaa vilaza sana, Leo nimezunguka maduka zaidi ya matano , nahitaji simtank , lakini kabla sijanunua niliwauliza je naweza kupata specifications za matank mliyonayo haswa katika upande wa vipimo.
Wakaniambia wao hawajua na hawana specification, hivyo tuchukue futi tupime, hatukuweza...
Habari waungwana,
Mimi nilisoma udereva katika chuo kimoja cha veta cha serikali huku kaskazini mwaka 2018 na kupewa leseni Class D,
Sasa nina taka kwenda kusomea tena kwa ajili ya kupata leseni Class C, sasa nilikua nimepata fununu kua vyuo vya veta vya serikali havitoi Class C mpaka NIT...
Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi
Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara...
Kitabu kinaelezea kijana aliechukuliwa afrika na kupelekwa uingereza na anatakiwa asome shule za awali hadi chuo, hivyo basi naomba kuelekezwa mitaa hasa ile ya kitajiri na sehemu za kupumzika hasa za kutembelea nk.
Kutokana na mtindo wa maisha niliokua nao (ulevi) nilijikuta kwenye hatari ya kupata maambukizi ya VVU mara nne baada ya kufanya ngono zembe au kupata ajali ya kinga kupasuka etc. Kila baada ya kupata ajali nilikua nakimbilia dawa za PEP, sasa mara ya mwisho kuna mhudumu aliniambia dawa za PEP...
Kila siku tumekuwa tunajadili App zenye majina makubwa makubwa Leo nimekuja naomba list ya App ambazo zinamilikiwa na member wa jukwaa hili pengine zitatufaa zaidi kwa mahitaji yetu kuliko hizi ambazo zimekuwa popular
Nawakaribisha
Salamu kwenu nyote.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye uwezo wa kuiga na kupanga mambo mazuri sana, ikiwemo sera na kuweka mikakati ya uwanzishwaji wa mambo ya kimaendeleo. Hali kadhalika ni nchi inayoongoza kwa kujifelisha yenyewe kimakusudi huku ikijivika upofu wa kimakusudi. Ni Taifa...
Habari wana jamvi, naomba ufafanuzi wa kisheria kwa jambo hili.
Bwana X aliomba mkopo wa benk kwa dhamana ya nyumba ambayo ilikuwepo eneo ambalo halijapimwa na viongozi wa mtaa wakadhibitisha hati ya mauziano kisha bank ikatoa mkopo.
Bwana X akashindwa kulipa mkopo wake bank ikaikamata kupitia...
Jinsia: Mwanaume
Umri:21
Elimu: kidato cha 6
Mafunzo: JKT kwa mujibu wa sheria 2022
Fani: Udereva (leseni hai kwa madaraja A A2 D)
Makazi: Arusha
Nilikuwa naomba kwa atakae guswa au mwenye channel yoyote kuhusiana na kazi ya upagazi anisaidie...kwa muda wa huu walikizo za chuo niweze kupata...
Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mfupi mweusi mnene kidogo wa wastani,.
Changamoto yangu ambayo ninahitaji msaada wenu ni kuwa,
Nina wapenzi wawili ambao wate kwa pamoja wanaonyesha kunipenda sana, wananipenda mpaka nimekuwa nashindwa kuelewa niingie na yupi kwenye ndoa na wote wanahitaji...
Nimemsikiliza Lissu akilalamika kuhusu Rushwa kwenye chama chake cha Chadema,kauli hii imenifanya nitafakari sana kuhusu uwepo wa rushwa vyama vingine vya upinzani.Hali ikoje? Tujadili ili tupate chama bora.
Yaani GENTAMYCINE niwe Rais tena wa nchi kama ya Puerto Rico ambayo najua kuwa Kwanza ina Wajinga na Wapumbavu wengi, Washamba wengi, Masikini ndiyo hawahesabiki, Maisha ya Wananchi wangu kuwa ni magumu huwa kila Siku wakiwa hawana Furaha halafu niende Kikazi Ziarani nijione nimemaliza na nipate...
Ikiwa Mtu ametoa tuhuma zinazohusu mtu au chama fulani, lakini kwenye tuhuma hizo akaandika jina ambalo sio sahihi. Je, Mtu huyo anaweza kushtakiwa na wahusika ambao kiuhalisia sio waliotajwa.
Mfano badala ya kusema JamiiForum wamefanya hivi au vile, yeye akasema 'jamaaforum!' Je, JamiiForums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.