Je, wakala wa mitandao ya simu inawezakana kulipia bill ya Maji DAWASCO ama Kulipia DStv kwa kutumia M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money, au Halopesa.
Na je pia unaweza kununua umeme kwa kupitia njia hizo ukiwa kama wakala.
Hapo anakuwa mteja amekuja ofisini kwako anaomba umpatie huduma hizo je...
Wakuu nimekuja kuomba msaada wa kunisaidia nisome ipi kati ya kozi hizi na vyuo hivi
1.Bachelor of arts in Economics _Ardhi university
2.Bachelor of Economics and finance _IFM
3.Bachelor of Agriculture investment and banking _SUA
Nahitaji sana mawazo na muongozo wenu wakuu wangu,niende ipi...
Habari wakubwa,
Kwa heshma kubwa naomba ushauri Kwa Binti /kijana wetu anahitaji ushauri wa ki confirm kozi ambayo itakuwa Bora Zaid kwake Kwa ambazo amechaguliwa.
Kozi zenyewe ni kama ifuatavyo
1. Bachelor of arts in economics_Ardhi university.
2. Bachelor of accounting with Information...
Habari Wana JF, naombeni msaada wa kisheria.
Mwajiri wangu alinivunjia mkataba bila kunipa barua yoyote yakuniachisha kazi, nilipewa kesi ya wizi ambapo alinipeleka polisi, lakini hakupeleka kesi mahakamani, baada ya kutoka polisi nilienda kituo cha haki za binadamu, nikapewa form za CMA...
Habari za asubuhi wapendwa.
Yaani nimeamka na mawazo sana nikaona nije huku kutaka msaada wenu yawezekana mm ni mshamba eneo hili.
Juzi nilinunua nguo duka fulan maeneo ya Sinza kulikua na sale hizi nguo za Uturuki kwa sale ya sh laki1. Katika nguo zilizokua kweny sale atleast ile kwangu ndio...
Habari ndugu, naomba niwashirikishe kidogo yanayonisibu;
Nina biashara 5;
1. Magodoro
2. Electronics
3. Mchele
4. Duka la rejareja
5. Vinywaji vya jumla.
Kinacho niumiza wakuu chakwanza ni location mbovu haswa kwa biashara ya;
1. Mchele
2. Electronics
3. Magodoro
Jambo la pili ni mtaji...
Mama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China.
Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze, kwani ni jambo la muhimu sana kwenye ustawi wa sanaa Tanzania.
NB: Video hii ni kumbukizi wakati wa Kampeni za Uchaguzi mwaka 2020
Huyu kiongozi ana mkashifu Mwenyezi Mungu, oky sikiliza mpaka mwisho.👇
"…sikiliza ana mpango gani na tawi lake halafu tutaendelea kuzungumza si ndio? Si tumekuja tuzungumze pamoja, siyo kutoa maagizo sasa hivi, nataka tujue...
Habari GTs,
Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti, kwa raia wa Tanzania wenye umri pungufu na zaidi ya miaka 18. Vile vile gharama za malazi kwa usiku mmoja for economy class, safari yangu itaanzia Mwanza.
Naomba kuwasilisha.
Nimepigwa na bumbuwazi wadau!
Natoka safari zangu naingia ndani namkuta mama mkwe (ana siku ya tatu Sasa hapa akiwa amekuja kututembelea) amejiinamia flani. Nikamuuliza, "mama vipi mbona umejiinamia?" Akaaniita na Kisha nilipofika alipo akasema tu, "angalia!" Basi akapandisha nguo yake na...
Habari zenu wakuu
Naomba kufahamishwa kuhusu agencies zilizo chini ya TAMISEMI ukiachana na Halmashauri, Manispaa na Majiji
Je , TAMISEMI zina agencies zake zingine ambazo zinasimamia??
Uzi tayari
Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( 😂😂😂 utoto raha nyie/ you can just think any how)
Si yeye peke yake bali hadi ndugu zake (kaka zake) wengine wanne ( wa tumbo moja) wote...
Kuna member jana nilikuwa naongea nae, ni mzuri kwa kuelezea vitu vilivyopo kwenye dark web.. Yeye alisema hao Akina Elon musk na Jeff Bezos sijui Akina billgate hawana pesa mbele ya Rothschild family
Niliingia Google as fast as possible nikaja kuona ni kweli, Forbes inaweka wazi kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.