naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. aBuwash

    Naomba ushauri kuhusu biashara yangu inakoelekea inaenda kukata roho sio muda

    Habarii wana JF natumai wote mko salama. Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam Nauza jumla na rejareja. Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying sana mpka leo na nimekuwa mtu ambaye sikatii tamaa nikijipa moyo kwamba ndo napata experience maana...
  2. kruzostom

    Naomba kujua mabadiliko yaletwayo na P2

    Nimekula tunda wakati mbaya wa hatari ya kupata mimba, nikaamua kutumia P2 Cha ajabu binti kawahi kuingia tena kwenye hedhi sasa si elewi, maana hata mwezi haujaisha Wazoefu mnaofahamu haya mnipunguzie hofu hapa nahemea mashine yaani
  3. N

    Picha: Naomba kujuzwa hii ni aina gani ya jiwe

    Naomba kujuzwa, hii ni aina gani ya jiwe?
  4. GENTAMYCINE

    Naomba tusaidiane kujibu hili swali langu ambalo nimejiuliza mara mbili mbili

    Hivi kwa Maisha magumu hasa ya Kijijini ya kuanzia Wazazi na Watoto (hasa wa Shule) inawezekana kweli Mtoto Mdogo (Mwanafunzi) ambaye katoka Kwao labda hata hajanywa Chai na hajui Mchana wake utakuwaje akirejea akapata Uthubutu wa kunipa Mimi GENTAMYCINE Zawadi ya Shilingi 50 za Kitanzania na...
  5. M

    Wataalam naomba kujua hili

    Hivi kipimo cha ultrasound kinaweza kusema incomplete abortion nakikawa kimedanganya? Kwamba mimba imetoka ila ikawa bado ipo?
  6. M

    Hivi ultrasound inaweza kusema mimba imetoka na ikawa imedanganya?

    Hivi ultrasound inaweza kusema mimba imetoka na ikawa imedanganya?
  7. K

    Wanaopewa ajira kwenye vyombo vyetu vya ulinzi wawe wanaoipenda kazi hiyo kwa moyo na kujivunia kuifanya

    Yanayoendelea sasa kwa baadhi ya askari wa jeshi la polisi ni matokeo ya watu kufanya kazi wasiyoipenda. Hawawezi kuifanya kwa ufanisi. Hapo zamani za kale kimbilio la waliokosa ajira ilikuwa fani ya ualimu. Kilichotokea ni kushuka kwa kiwango cha elimu nchini kwasababu ya kukosa morali ya...
  8. haszu

    Naomba uzoefu wa kuendana na mke wenye uhitaji wa "sex" kila wakati

    kwa uzoefu wangu nimefikia hitimisho la kusemackua, mke wangu ana nguvu nyingi kwenye tendo la ndoa na si kuwa nina tatizo la nguvu za kiume. Nimejaribu kuendana na kasi yake ya uhitaji wa jambo hili lakini nimeona uhitaji wake ni above average. Naomba msaada wa namna ya kuedanda nae, anapokua...
  9. J

    Naomba ushauri namna ya kuhama kozi chuo cha udom

    Samahani viongoz wangu!Nilikuwa naomba mnisaidie je naweza kuhama kozi katika chuo cha udom kutoka nursing kwenda pharmacy au md nanabidi nifuate hatua zp? Na itakuaje kuhusu mkopo? Naomben msaada wenu nilikuwa pcb ufaul wa CBC yan points 8
  10. God Fearing Person

    Naomba ushauri sisi watu wenye Akili nyingi nchi gani inatufaa kuishi na kufanikiwa ?

    Nauliza , kuna nchi gani inatufaa sisi great thinkers kuishi na kufanikiwa?
  11. S

    Huu ujumbe aliotumiwa Lema ukionesha vitisho kwenye maisha ya Lissu ni kweli umetoka kwa Lissu mwenyewe?

    Hebu JamiiForums mjiridhishe kama kweli huu ujumbe ni wa Liissu. Pia, ikiwezekana, muwasiliane na Lema au Lissu mwenyewe. Nina mashaka na aina hii ya uandishi kama kweli ni wa Lissu.
  12. L

    Kama wewe ni mwana Simba na kesho Simba inacheza halafu huendi kuisapoti kumkaanga Mwarabu naomba ukae pembeni na usiishangilie tena Simba, huna faida

    Kesho kwetu ni siku muhimu mno kuliko Simba day, kesho ndio ile Ubaya Ubwela yetu sisi. Sasa Kama ulkuwa ukienda uwanjani kuiangalia Simba ikicheza na Fountain gate, ukaenda Simba day ndugu yangu wa faida, kesho ndio cku muhimu kuliko cku zote katika maisha ya Simba msimu huu. Tusipokwenda...
  13. Kommando muuza madafu

    Naomba kujifunza: Je, content creator wananufaikaje?

    Je, wananufaikaje na haya wafanyayo? Je, wanavibalu kisheria kufanya wafanyayo?
  14. Genius Man

    Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali

    Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali
  15. Mhafidhina07

    kwa anaejua watanzania wanataka nini naomba munambia hapa jukwaani.

    naona wabongo vichwa vyetu ni sifuri hatujali kuhusu maisha ya baadae na kizazi chetu,what we look for enternment simba yanga,mabishano ya kiimani na kisiasa,vichekesho na kudanganywa sioni watu wakichukulia serious mambo ya siasa na maisha yao.
  16. JOSEPHAT_07

    Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  17. Mtu Alie Nyikani

    Watu wa Mungu kulingana na hili linalo endelea ndani ya nchi yetu. Naomba tujifariji kwa neno la Mungu. Maana ukombozi umekaribia.

    Kutoka 14:14. Mithali 24:24. Zaburi 98:9. Mithari 14:34. Kutoka 14 : 14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya. Mithali 24 : 24 Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia. Zaburi 98 : 9 Mbele za Bwana; Kwa maana anakuja aihukumu nchi...
  18. Gulugujatza

    Naomba niongee na nyinyi wamama mnaotumia watoto kama tiketi ya kutoka nyumbani

    Naomba NIONGEE hili jambo moja kwa moja hata kama sijatoa salamu.. Eeeenyiiii wazazi wa kike Kuna baadhi yenu mnapenda sana kuondoka/kutoka majumbani kwenu huku umebeba mtoto mgongoni au kumshika mkono ukiamini kwamba hata mzee akirudi nyumbani akiambiwa mama flani katoka na mtoto kunakuwa...
  19. maelekezo

    Naomba ufafanuzi wa kozi aina yaa Filter Mechanics

    Masada wakubwa kuhus filter mechanics ni kozi inayohusu nini haswaa na ina upana gani kwenye ajira
  20. SweetyCandy

    Naomba niulize swali kwenu

    Heri ya Maulid waislam wote na nadhani mmekula chakula kitamu nakuenjoy Eti mtu aliyezaliwa 1989 mpaka 1995 na hawajaolewa mnawaitaje? Maana nimekuta hii video https://vm.tiktok.com/ZMh8XnhSP/ Niambie
Back
Top Bottom