Wakuu hope mmeamka salama.
Nina jambo kidogo nahitaji ushauri ndugu zangu, Mimi ni kijana wa kiume ni mkaz wa Dar es salaam ila kwa sasa nipo mkoa wa pwani kibaha nimejiriwa na mtu binafsi tunalipana kwa % yeye anachuka 40% mimi nachukua 60% na pia kaniamini kwa kiasi kikubwa sana na kabla...
Wataalamu naomba mnisaidie kunijuza kuhusu vibali vya ujenzi, binafsi nina kibali cha serikali za mitaa ila kuna mtendaji alikuja site akaanza kufokafoka nikamwambia kibali ninacho, sasa baada ya kumwambia kibali ninacho akaanza kuuliza vibali vya mkurugenzi mara engineer wa wilaya, aisee...
Habari wakuu naomba msaada wenu kuhusu safari za train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaa.
Ni lini inatoka mbeya kwenda DSM. Zote zikiwemo express na ordinary. Mbeya linaondoka siku gani?
Msaada please.
Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiandaa kufanya mapenzi, mwanaume akakumbuka kitu, akapandaa juu ya sturi akafungua dari na kuchukua kitabu kama kava hivi halaf akatoa condom...
Habari wakuu!!
Naomba msaada wa masomo kwa atakae guswa au anae fahamu shirika lolote linalotoa msaada kwa ngazi ya diploma.
Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa wana JF kwa wale wote watakao changa michango yao.
Me ni kijana mwenye umri wa miaka 19,niliitimu kidato cha nne mwaka jana...
Wakuu salam kwenu,
Tumeshuhudia kwenye Uchaguzi wa 2015 JF ilivyopigwa na kitu kizito kwenye suala la mtandao na hivyo kuzuia wananchi kupata taarifa.
Tulishuhudia hilo pia kwenye uchaguzi wa 2020 jinsi mtandao ulivyochezewa na 'jini' ikawa changamoto kupata taarifa na wale ambao biashara zao...
Habari ya muda huu,
Mimi ni recent graduate wa Bachelor degree, nilituma CV ya kuomba position ya Junior Safety Officer....na hatimaye leo jioni nimepigiwa simu kuwa kesho nifike kwa ajili ya interview.
Naomba muongozo na vitu vya kuzingatia maana ndio interview yangu ya kwanza.
Natanguliza...
Prof. Minzi na wengine!
Sijui kama waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral level. Kwa nini nasema hivyo?
Nimewekeza hela nyingi sana kununua mashamba Mkoa wa Rukwa wilaya...
We are looking for a software developer and a data engineer who can perform the following functions
*Design and implemented ETL pipelines for processing low-resource language data(Yoruba)
● Develop data cleaning and transformation scripts to prepare datasets for machine translation models
●...
Mshana Jr Rakim msaada wenu hapo naomba kujua hayo mawe yanafanya vipi kazi katika ulimwengu ule usioonekana
pia naomba kujua kuhusu mafuta ya essential kama lavenda au ylang-ylang
Wana jamii forum naomba kuuliza ni ofisi gani inatoa ajira yenyewe bila kupitia utumishi yani wana kibali cha ajira na wana mshahara mkubwa kwa BBA ya accounting kabla ya kupata CPA
Pia ni ofisi gani ambayo interns wanalipwa hela kubwa😂
Wakuu aisee nna changamoto ambayo nahitaji kuielewa kabla sijaipotezea as usual but this time nahitaji msaada wenu Ili nikiipotezea nisije jiuliza maswali kama haya Tena hapo badae..
Wanawake
1. Kwanini wanawake haswa my age Kila ninapo wakuta sehemu wanazotoa services mfano canteen, kwenye...
Ikitokea sijafanya mazoezi (mfano ya jogging) angalau mara mbili kwa wiki, mwili huniwasha unapokumbwa na mtikisiko.
Mfano: kama sijafanya mazoezi angalau mara mbili kwa wiki, siku nkifanya mazoezi tena, mwili huanza kuwasha, then huacha baada ya kutokwa jasho jingi wakati naendelea na...
Nina miti ya parachichi iliyo ota katika shimo Moja na imekua na muda mrefu sana bila kutoa matunda imerefuka tu na kua nyembamba kiasi
Je, nifanyajee?
Mama ni mtu mzima kidogo anaeleka miaka 65. Ana shida mishipa ya miguuni inauma sana na kutokezea kwa juu.
Hospital kaenda kaaimbiwa ana shida ya mishipa kuvimba (varicose veins). Matibabu yake ni either upasuji ambayo kwake yeye anaogopa kulingana na umri wake.
Naomba kufahamishwa food...
Hawa masela ni watu maarufu sana nchini Madagascar.
Kuna wakati katika mishe zao walipata kusafiri kikazi kwenda nchini Puerto Rico. Wakiwa huko wakapata fursa ya kukutana na jamaa fulani aitwaye Pumzi Baba.
Walipoenda kukutana na mwamba, aliwakaribisha moja kwa moja chumbani, wakafanya mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.