Naomba mnifahamishe kama hivi ndivyo nyota inavyoibiwa?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Huwa sifatilii sana haya mambo ila kuna kitu kimenipa wasiwasi, kuna mtu ananipa sana hela, mara kwa mara, na ni miamala mikubwa tu bila hata kumuomba.

Imefika muda nikaona nimuulize, akaniambia nisijali, pia akinipa hela, huwa mambo yake yanaenda vyema.

Je, kwa kauli hii ndio anatumia nyota yangu au? Naombeni elimu.
 
Huwa sifatilii sana haya mambo ila kunakitu kimenipa wasiwasi, kuna mtu ananipa sana hela, mara kwa mara, na ni miamala mikubwa tu bila hata kumuomba.
Imefika muda nikaona nimuulize, akaniambia nisijali, pia akinipa hela, huwa mambo yake yanaenda vyema. Je kwa kauli hii ndio anatumia nyota yangu au? Naombeni elimu.
Usithubutu mkuu unautafuta umasikini wa kudumu
 
Huwa sifatilii sana haya mambo ila kuna kitu kimenipa wasiwasi, kuna mtu ananipa sana hela, mara kwa mara, na ni miamala mikubwa tu bila hata kumuomba.

Imefika muda nikaona nimuulize, akaniambia nisijali, pia akinipa hela, huwa mambo yake yanaenda vyema.

Je, kwa kauli hii ndio anatumia nyota yangu au? Naombeni elimu.
Hakuibii Ila wewe ndio nyota ya mchezo kwake, akikupa 1K anaingiza 5K+
 
Huwa sifatilii sana haya mambo ila kuna kitu kimenipa wasiwasi, kuna mtu ananipa sana hela, mara kwa mara, na ni miamala mikubwa tu bila hata kumuomba.

Imefika muda nikaona nimuulize, akaniambia nisijali, pia akinipa hela, huwa mambo yake yanaenda vyema.

Je, kwa kauli hii ndio anatumia nyota yangu au? Naombeni elimu.
Nyota yako ikitumiwa unakua fukara sema nini huyo jamaa muulize yeye anazipataje hela zake atakufunulia siri,kuna yule bwana wa Morogoro alieingizaa hivi hivi pasipo juwa
 
Hiyo IPO , Ila sijui ndo Aura au ndo nini wapo watu ukimpa 1K unajikuta unapata 100K ambayo haikuwa kwa mpango and vise
versa yake mwingine ukimpa unablok channels.
 
Akikupa nitumie hizo pesa mimi ili yamwendee vibaya aache kukupa pesa
 
Back
Top Bottom