Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Una hamu ya kuvuliwa ubingwa na wewe
Ujue kuna wakati hii miili yetu hatuitendei haki😂Poa mkuu🤣🤣
Sasa si bora ustawishe mwili wako kuliko kumpendelea mwajuma na akakuachaUjue kuna wakati hii miili yetu hatuitendei haki😂
Blaza usiwasengenye mwili unawahitaji😂Sasa si bora ustawishe mwili wako kuliko kumpendelea mwajuma na akakuacha
anakupa sababu ulishatuambiaga ww n mzuri"Huwa sifatilii sana haya mambo ila kuna kitu kimenipa wasiwasi, kuna mtu ananipa sana hela, mara kwa mara, na ni miamala mikubwa tu bila hata kumuomba.
Imefika muda nikaona nimuulize, akaniambia nisijali, pia akinipa hela, huwa mambo yake yanaenda vyema.
Je, kwa kauli hii ndio anatumia nyota yangu au? Naombeni elimu.
9🫣🫣🫣🫣🥱At the end you need cash😂
Atakuchambaaa...Hiz zingine ni mental case.
Tusijibizane na vichaa
Akikupa pokea! Ukiwa na shida mwambie! Ila usijiongeze ukamletea janjajanja! Haitakulipa na utampotezaNielekeze vizuri mkuu, samahani
Ajichanganye 😂😂Atakuchambaaa...