Nimenunua kiwanja nikaanza kujenga bado natakiwa niende nikatafute kibali cha kujenga hii ikoje?

Nimenunua kiwanja nikaanza kujenga bado natakiwa niende nikatafute kibali cha kujenga hii ikoje?

A

Anonymous

Guest
1756578245608.png
1756578245608.png
 
Kwa mujibu wa hiyo picha, naona kama lami imepita hapo, kama meta 3 kutoka kwenye Jengo; Kama ni kweli; huo ukaribu na Lami ndio umefanya uambiwe upeleke Kibali kwa kuwa hairuhusiwi...UMEJENGA ENEO LA BARABARA. Huo umbali unaruhusiwa Mjini kati pekee tena kwa kibali maalum;
Nje ya Mji kama hapo kwako umbali ni meta 15 hadi 30 kutoka Lami kutegemea na hadhi ya barabara
 
Kama huna Ramani hivi Huwa wanafanya utaratibu gani?
Unaenda kwa wachora ramani wanaotambuliwa kisheria, kisha unapeleka kwa mhandisi mkuu kwa ajili ya approval ukiambatanisha na nyaraka za kiwanja then ndio unapewa kibali cha ujenzi.
 
Mkuu bila vibali vya ujenzi nyumba si zingekua zinaangaliana hakuna hata bara bara au watu wanajenga maeneo ya wazi sema labda kwenye gharama ya kibali hapo ndio tupo pamoja ila kujenga mpaka uwe na kibali hapo nipo pamoja na wachora ramani...
 
Kwa mujibu wa hiyo picha, naona kama lami imepita hapo, kama meta 3 kutoka kwenye Jengo; Kama ni kweli; huo ukaribu na Lami ndio umefanya uambiwe upeleke Kibali kwa kuwa hairuhusiwi...
Huo umbali unaruhusiwa Mjini kati pekee tena kwa kibali;
Nje ya Mji kama hapo kwako umbali ni meta 15 hadi 30 kutoka Lami kutegemea na hadhi ya barabara
Hawa jamaa hua wanachoraga usiku mnene mchana huwezi kuwakuta wanachora hata ufanyaje, wanasubiri ujenge tu usiku mnene wanakuja kuchora ukija asubuhi utafurahi
 
Kuna majizi mengine yamekimbia na hela za tonetone hajato mapato na matuzi hadi sasa.
Andika vizuri mbona unawenge siwezi kuwapa pesa wezi hao eti unakuja kuelekeza kabisa jinsi ya kufanya mjinga wewe hamna mtu wq kutoa pesa hapa
 
ungetafuta kibali kabla ya kujenga sidhani kama wangekuruhusu ujenge barabarani kiasi hicho.
 
Kutafuta kiwanja kazi, Kununua kiwanja kazi, kupata hati ya ardhi ni kazi, kupata kibali cha ujenzi kazi, kujenga kazi mpaka kuhamia kwako kazi malizia mwenyewe yaliyobaki
 
Back
Top Bottom