Wakuu, poleni kwa kuwasumbua sana. Ni vile naipenda familia yangu na pia naipambania sana licha ya mwenzi wangu kutokuwa na shukrani.
Huenda yote haya yanatokana na kuzoeana sana ndani ya nyumba, yaani ile hali ambapo ugomvi huanza, halafu anajua kuwa hata nikinuna, mwisho wake huwa ni mwepesi...