nape

  1. J

    Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

    Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri Nape ameongeza kuwa Serikali ya awamu ya 5 ilikopa mikopo mingi huku asilimia 40 ya mikopo hiyo ikiwa ni ya kibiashara hivyo kuwa na riba...
  2. Nape: Sasa hivi vyuma vimelegea, Rais Samia kamwaga pesa mtaani tofauti na awamu iliyopita

    Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia? Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
  3. N

    Rais Samia, jipunguzie kazi kwa kumuweka Makonda au Nape kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani

    Hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule isipokuwa Rais tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki: Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha...
  4. Nape Nnauye: Kwa bajeti hii ya Rais Samia hela zitamwagika mtaani watanzania tujiandae kuzichota

    bunge wa Mtama, Nape Nnauye ameisifia bajeti ya mwaka huu ambayo ni yakwanza kwa Rais Samia Suluhu akisema ni bajeti ya watu kwa kuwa imegusa maisha ya watu moja kwa moja na kwamba vyuma vilivyokaza sasa vitaachia. Nape amesema bajeti ya Samia imekamika kila idara na ni bajeti bora sana...
  5. S

    Hongera Nape, suala la kukaimu muda mrefu ni tatizo

    Katika mchango wake bungeni mh. Nape Nnauye ameshauri itungwe sheria inayoweka ukomo wa kukaimu. Jambo hili nikweli bora litungiwe sheria ili kuboresha mazingira ya utendaji kazi,uwajibikaji na kuondoa viashiria vya rushwa. Madhara yake yanaonekana Tanga Jiji kwani wapo watumishi waliopewa...
  6. J

    Nape Nnauye ampongeza Kheri James na UVCCM, awataka watani wao (Chadema) wakajifunze siasa CCM

    Mbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama. Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM. Kazi Iendelee
  7. T

    Nape ndiye Rais ajaye 2025, akikatwa CCM ataenda upinzani watampitisha

    Kwa kuwa siasa ni mchezo usiotabirika, kadhalika anaeweza kuimudu ni yule mwenye uwezo mkubwa wa kusoma alama za nyakati. Alifanya kosa kidogo kwa kuchelewa kumsoma bosi wake wa awali ila amecheza karata vizuri ambapo kwa sasa ameanza kuteka mioyo ya makundi mbalimbali ndani na nje ya chama...
  8. J

    Halima Mdee walau alipigiwa kura japo hazikutosha lakini Nape Nnauye alichaguliwa na nani?

    Nape Nnauye toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako. Utamnyoosheaje kidole Halima Mdee ilhali na wewe uliingia bungeni kwa utaratibu huo huo wa viti maalumu vya " Kinyemela"? Nawatakia Dominica yenye baraka! Ramadhan Kareem.
  9. S

    Nape Nnauye ndiye mwana-CCM pekee aliyepigania demokrasia wakati wa giza nene la awamu ya tano

    Ni kweli Nape amewahi kutoa kauli tata ktk uchaguzi wa 2015 iliyoashiria kuwa Nape si muumini wa demokrasia. Kauli ya "goli la mkono". Pia alikuwa waziri wa habari wakati Muswada kandamizi wa kubinya Uhuru wa vyombo vya habari unapelekwa bungeni. (Lakini hapa siyo kosa lake, alitumwa na bosi...
  10. T

    Mwenyekiti wa CCM mtarajiwa, Mhe. Samia Suluh naomba utumie mamlaka yako ya uenyekiti utakaochaguliwa kuwadhibiti Nape na January

    Hayati Rais Magufuli alikuwa anapenda kutumia kauli"msema kweli ni mpenzi wa Mungu..." akimaanisha vitendo viovu vilivyokuwa vinaendelea na waliopewa madaraka kukaa kimya bila kusema ukweli. Ukiachana na ukweli kwamba kila binadamu ana madhaifu yake ambayo yanamfanya kutokuwa mkamilifu lakini...
  11. Nape: Watu wanastaafu wanakaa mpaka wanakuwa wanywa gongo kwasababu hamuwapi stahiki zao

    Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, ameitaka Serikali, iunde tume ya kuchunguza madai ya walimu, waliopandishwa madaraja bila mishahara, waliofutiwa barua za kupandishwa madaraja. "Serikali ya CCM, ni ya wakulima na wafanyakazi, twendeni tukatende haki, haki huinua taifa." "Naiomba serikali, Chama...
  12. Elimu ya Nape Nnauye

    'Mwosha huoshwa'. Nape Nnauye ulianzisha mjadala juu ya elimu ya Mheshimiwa John Mnyika na mwenyewe ameshajitokeza kujibu. Katika uzi huo wa Mheshimiwa Mnyika wachangiaji wengi wamegusia kuhusu details za elimu yako. Swali la msingi: Matokeo yako ya Form 6 yana mashaka, wengine wanasema...
  13. J

    Msukuma awajibu January na Nape asema kumkosoa hayati Magufuli ni nongwa kwa sababu wabunge wamekula viapo vya utii

    Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii. Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya...
  14. Rais Samia, Hotuba ya Nape na Makamba ni ya kutupumbaza watanzania. Wana jambo lao

    Mh. Rais Samia. Nimesikiliza hotuba za hawa watu wawili, Makamba Jr (Jana) na Nape(Leo). Hawa watu wanajua kucheza na siasa ili mambo yao yakubirike kwa jamii. Ukiteleza kidogo tu wana wewe. Ukiwaangalia kwa nje ni kama kondoo lakini kwa ndani wanalo jambo lao. Ni vile mimi nimeanza...
  15. Nape: Kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu

    Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa nyaraka za chama hicho tawala, kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu. Nape ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 15, 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu...
  16. Nape Nnauye: Ningependa bunge liwe live wananchi waone mijadala

    Nape Nnauye alikuwa mmoja kati ya panel iliyokuwa ikijadili mwelekeo wa serikali ya Rais Samia, akiwa pamoja na Dr. Marcus pale Azam Tv. Nape alitakiwa kujibu shutuma ya Dr.Marcus kuwa yeye Nape ni moja ya watu waliokuwa mstari wa mbele kukandamiza upatikanaji wa habari kwa kuanzisha sheria ya...
  17. Nape Nnauye: Rais Samia Suluhu aendelee mpaka 2030

    Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Nape Moses Nnauye akihojiwa na Mwananchi amependekeza kwamba Rais Samia Suluhu Hassan aendelee kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka 2030. ----- Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameanza vizuri kwa kutoa maagizo...
  18. J

    Nape aliona mbali sana kuhusu Magufuli kuongezewe muda, aliuliza je akifa? Hakuna aijuaye kesho

    Hii ni video ambayo Nape alifanyiwa mahojiano mwezi wa 2 wakati Bunge likiendelea, kuna wabunge waliokuwa wakianza kusema Magufuli aongezewe muda atake ama asitake. Sasa maoni ya Nape ni kuwa hawajui kesho ni nani atakuwepo ama hatakuwepo (akimaanisha hata JPM anaweza kudondoka muda wowote) na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…