Mzee Kikwete, Mzee Yusufu Makamba, na Mzee Kinana, naamini wana mchango mkubwa katika mafanikio ya kisiasa ya:
1. Nape Nnauye
2. January Makamba
3. Riziwani Kikwete
Hivi isingelikuwa hao wazee, watajwa wangekuwa wapi kwa sasa?
Wangekuwa juu sana kisiasa na kiuchumi?
Wangekuwa chini sana...