Uovu ni roho ambayo huuongoza mwili wa mwanadamu na hii roho humtesa Sana mwanadamu mpaka aombewe au akutane na shetani kwenye mazingira ambayo itabidi akatubu na kuombewa na hatimaye roho mbaya huondoka Mara moja na kubaki mtu mwema
Malezi mabaya waliyopewa hawa vijana wawili Nape na Makamba...
Waziri Nape Afanya Mazungumzo na Balozi wa Finland Tanzania
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting Ofisini kwake jijini Dar es Salaam aliyeambatana na Mkuu wa...
UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)
Tarehe 21 Machi, 2024
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 7 (3) cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ya mwaka 2003...
Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
Mhe.@ Dk Dorothy Gwajima
Na...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari
Mhe. Nape Moses Nnauye.
Wasalaam,
Poleni kwa kazi.
Ninakuandikieni barua hii ili kuwajulisha na suala linaloleta wasiwasi mkubwa ambalo...
Nimeona mjadala wa “Kusoma magazeti”. Nimeelekeza TCRA kuruhusu UBUNIFU kwenye tasnia ya Habari. Staili ya usomaji we magazeti imeongeza MVUTO kwenye usomaji huo, ni jambo linapaswa KUTIWA MOYO badala ya kuzuiwa. Waandishi endeleeni na ubunifu kwenye kusoma magazeti.
Maelekezo mengine yeyote...
Shughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio.
Watu ni wengi sana na bado wanaendelea kumiminika
Mwili wa Lowassa ukitoka Lugalo
Nape aliweza kwenda Ikulu kumwomba radhi Magufuli kwa lengo la kupata madaraka. Lakini alishindwa kwenda kumwomba radhi Lowassa baada ya kumdhalilisha na kumtakia kifo kwenye mkutano wa adhara 2015.
Alitamka maneno ambayo katika hali ya kawaida huwezi kusema yametoka kinywani kwa mwanadamu...
Serikali imeona kupitia vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kuhusu taarifa za Wasafi FM kuzuia mahojiano kati ya Makamu Mwenyekiti, wa CHADEMA na kutoa taarifa kuwa maamuzi hayo yametokana na maelekezo kutoka juu.
Tangu kuingia kwa Serikali ya Awamu ya Sita kazini, jambo la...
Waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari Mhe. Nape Nnauye, amevitaka vyombo vya Habari nchini kutoa nafasi sawa kwa wanasiasa wote bila ya ubaguzi.
“Vyombo vyote vya habari wapeni uwanja sawa wanasiasa watimize majukumu yao. Mtu akisemwa, wa upande wa pili apewe nafasi ya...
Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine.
Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea.
Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi...
Nape alijitokeza na kutishia wote waliouliza kuhusu alipo Makamu wa Rais. Kwa kipindi kifupi alipigwa spana Tweeter za kutosha.
Hazikuwa spana kavu bali na vifungu vya sheria na katiba na kidogo wakampekua hata mambo yake mengine. Ametulia!
Chalamila alijivika Uamiri Jeshi (kwa cheo cha...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye ameizundua rasmi Bodi ya Tume ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi huku akiitaka kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na miongozo iliyowekwa na si kwa Matakwa na Utashi wa watu fulani.
Waziri Nape amesema...
NIMEEJIULIZA swali Nape na Mwigulu ni Wajumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kikao kilichompitisha Nchimbi kuwa Katibu Mkuu, Swali je kwanini Nape na Nchimbi walijitokeza tena kwenye mitandao kumpongeza hii ina maana gani?
Ilikuwa Septemba 28, 2015 akiwa uwanja wa Samora mkoani Iringa Nape Nnauye ikimfungia 'Turbo' ya maneno makali aliyekuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa dhidi ya mgombea wa chama chake, John Magufuli.
Nape alisema Chadema imeamua kufanya mabadiliko mengi ikiwemo kuacha...
Hali ya Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kisiasa Jimboni Mtama imezidi kuwa mbaya baada ya Chadema kupitia kwa kijana msomi Stephen Kamillius Membe kufanya operesheni kila Kijiji na Sasa kila nyumba kutaka wananchi wamkatae Nape na CCM yake.
Operesheni hiyo imefanyika kwa miezi miwili Sasa na...
Mkuu wa chuo, Mizengo Pinda, Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Joseph Kuzilwa, heshima yenu wakubwa.
Prof. Elifas Tozo Bisanda, Professor of Mechanical Engineering. Mbobezi katika renewable energy. Tafiti kuhusu...