natabiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natabiri kwa watu 21 kuinuka kiuchumi kabla mwezi huu haujaisha. Pokea kuinuka!

    Natabiri kwa watu 21 kuinuka kiuchumi kabla mwezi huu haujaisha. Pokea kuinuka!
  2. Watanzania inabidi tuwe wazalendo tuipende nchi yetu kwanza halafu vyama baadae

    Wakuu Ipo siku sisi kama watanzania tutaruhusu nchi yetu iingie katika kipindi kigumu zaidi Cha kiutawala ambapo tutajikuta tumeruhusu kutawaliwa na mtu asie mtanzania halisi bila sisi kujijua kwa sababu tunaonekana hatuna uzalendo kabisa. Imefikia wakati watu Wanapenda vyama kuliko kuipenda...
  3. T

    Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

    Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe. Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani. Israel amemtwaa mchezesha ngoma na...
  4. M

    Pre GE2025 Predection: CCM itashinda zaidi ya 90%- 2025

    Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia." Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data) Researcher anaweza kutumia aina ya Machine learning moja, 2 au 3 ili kuweza kutabiri (Predection) kwa jambo litatokea...
  5. Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

    Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na...
  6. Natabiri Yanga vs Mamelod kukosa watazamaji uwanja wa Mkapa

    Kama kawaida sisi mashabiki wa Yanga sio watu wa kwenda uwanjani ni wazuri wa kelele barabarani na kwenye vijiwe. Wakati wenzetu Simba wakijaza uwanja kama kawaida yao sisi hatutajaza na tutakuja na visingizio kibao na lawama kwa uongozi. Daima mbele nyuma mwiko.
  7. M

    Natabiri Yanga kutolewa na Mamelodi kwa jumla ya Magoli 7-1

    Jinsi wanavyojiona ni timu tishio kisa tu walimfunga simba kwa kubahatisha goli 5-1 , hawa watatolewa kirahisi sana na Mamelod. Kwa mkapa watapigwa 3-1 na kule south watapiwa kama walivyopigwa na CRB plus goli 1. Wao wanafikiri mfano wakikutana na simba nusu itakuwa ni rahisi kuitoa simba...
  8. T

    Natabiri tena mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri

    Natabiri huenda kutakuwa tena na mabadiliko madogo kwenye wizara nyeti mbili kama sio tatu. Katika mabadiliko hayo mawaziri wawili watapumzishwa na kuwekwa mawaziri wengine. Upo uwezekano Mkuu kufanya uteuzi maalumu kwa sababu Pana za kimasilahi ya Taifa. Utabiri huu utatimia pale itampendeza...
  9. Natabiri tu. Baada ya uongozi wa Rais Samia, Waziri Mbarawa anaweza kushitakiwa

    Hili suala la Bandari na DP World bado ni bichi na linavuja damu. Natabiri tu, baada ya muhula wa mama, Prof. Makame Mbarawa anaweza shitakiwa kwa uhujumu uchumi. Prof Mbarawa hana kinga. Natabiri tu.
  10. Natabiri Elon Musk wa Tesla/Twitter kumpiga KO Mark Zuckerberg wa Facebook kwenye Pambalo lao la Masumbwi

    Matajiri wawili Duniani, Bwana Elon Musk na Mark Zuckerberg wamekubali kuzichapa kavu kavu kwenye ulingo uliofungwa, caged match siku zijazo mjini Nevada. Binafsi natabiri Elon Musk kumfumua Mark kwa KO. --- Mr Musk posted a message on his social media platform Twitter that he was "up for a...
  11. Natabiri mapema hapa Mtoto Mmoja wa Marehemu Kuteuliwa nyadhifa za Serikalini / Siasa

    Katilka nafasi za DAS au RAS au DED au DC au RC na hata Ubunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais aliyeko. Na hili linaweza kufanyika ndani ya Miezi Sita au Kenda (Tisa) au hata Miezi Kumi na Mbili ijayo ili Kuwafariji na Kubebana. Uzi wangu huu Utunzwe tafadhali.
  12. R

    Huu ni mwezi mtukufu, natabiri Rais Samia atachukua point zote tatu atakapoulizwa kuhusu ndoa za jinsia moja

    Huu ni mwezi WA toba Kwa Wakristo na Waislam; Ni mwezi ambao Tanzania inategemea kupata ugeni wa Makam wa Rais wa USA na moja ya Jambo linalosumbua katika safari yake ni hoja ya mahusiano ya jinsia moja. Hatuna shaka kwamba Mhe. Rais wetu atakutana na swali linalohusu msimamo wa Tanzania kama...
  13. G

    Leo ni siku ya uchaguzi Nigeria, Ijue Nigeria kwa jinsi makundi ya ukanda, udini na ukabila yanavyopewa uzito kwenye siasa

    >> MOVED
  14. TANESCO haina mipango mizuri na sisi

    Ndugu zangu watanzania kwanza hiwapongeza kwa uvumilivu mlio nao na matarajio ya kuuona mwaka mpya🎇🎇🎆. Nasikitika kuwambia ndugu zangu kuna huyu nyang'au anaejiita TANESKO hana mipango mizuri na sisi. Wote tunatamani kuupokea mwaka miji yote ikiwa imechangamka kwa burudani za kila aina. Ila...
  15. Natabiri Urusi atatembeza kichapo cha haja leo usiku hapo Ukraine

    Urusi uzuri wake husubiri achokozwe na ndipo hujibu.... Baada ya kuchokozwa na kushambuliwa meli zake kule baharini natabiri pale Kiev leo hakutalalika na tutarajie kichapo cha haja.
  16. Natabiri Kocha wa Yanga SC Nabi Kufukuzwa kwa Mwarabu Jumapili au kwa Mkapa Jumapili ijayo

    Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki. Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC (...
  17. Natabiri Putin kufa kifo cha kutatanisha ndani ya miezi hii mitatu

    Huu uzi utunzwe kwa kumbukumbu za tabiri tashtiti zilizowahi kutokea hapa JamiiForums. Itakuwa hivi. Asubuhi ya Jumatatu, mwili wa Putin utakutwa unaelea kwenye bwawa la kuogelea. Sii walinzi wake watakaokuwa na jawabu amezamazamaje na amefikaje swimming pool. Tutayasikia mengi lakini huo...
  18. Natabiri timu zitakazofika Makundi kwenye ligi ya mabingwa Africa

    1.Al Ahly 2.Wydad Casablanca 3.Esperance de Tunis 4.Raja Casablanca 5.Mamelodi Sundowns 6.TP Mazembe 7.Zamalek 8.Horoya 9.Petro de Luanda 10.Simba 11.CR Belouizdad 12.JS kabylie 13.Al Hilal 14.As Vita Club 15.Al-Ahli Tripoli 16.Coton Sport
  19. T

    Natabiri Mabadiliko Madogo Baraza la mawaziri. Wawili kama sio mmoja kutemwa

    Igweeee nisiwachoshe wala nisijichoshe. Madam President akirejea kutoka Kenya huenda usiku mkasikia mabadiliko ktk baraza la maziri. Na kwa vile utabiri unaonyesha mawaziri wawili watapigwa chini kama sio mmoja na wizara fulani nyeti itapewa mtu atakae teuliwa kwanza ubunge viti maalumu...
  20. Zembwela wa Wasafi FM: Kutokana na hii Kero ya Tozo Lukuki natabiri 90% ya Wabunge hawatorudi tena Bungeni 2025

    "Kama kweli Watanzania wakijielewa na kutuliza Akili zao na kwa hali ninayoiona sasa Mitaani kutokana na Hasira za Tozo Lukuki huku Maisha yao yakizidi kuwa magumu kuna Uwezekano 90% ya Wabunge hatutokuwa nao tena Bungeni mwaka 2025" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Hillary Daud a.k.a Zembwela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…