nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Nataka kuhamia Canada nikaishi huko naomba ushauri

    Habari wanajukwaa. Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada. Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya kutusaidia tutakapo fika huko kujipanga kimaisha. Kwa sasa ninafuatilia visa ubalozini maana huwa...
  2. Nataka Kufungua Mashtaka dhidi ya Tanesco kwa hasara waliyonisababishia

    Wakuu natafuta wanasheria mzuri anaeijua kazi yake, ili tufungue kesi dhidi ya shirika la umma TANESCO, kutokana na hasara walionisababishia kwenye biashara yangu ya bucha la samaki wabichi, walikata umeme toka jana asubuh tarehe 14 bila taarifa na hawakurudisha hada saa 2 usiku tena dakika 5 tu...
  3. Wadau nataka nitie laki 9

    Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayoona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi
  4. Nataka kufungua Kiwanda cha Peanut Butter, naombeni uzoefu!

    Habari zenu wana jamvi. Hope this thread finds you well. Bila kupoteza muda, naomba niruke kwenye mada moja kwa moja.. ninaomba uzoefu katika nyanja tofauti tofauti za uendeshaji wa kiwanda cha peanut butter, Kama vile upatikanaji wa Mashine bora na bei zake. Changamoto?? Masoko?? n.k Nipo...
  5. Soma stori hii kabla haujaamua kuoa mke wa pili

    Baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka miwili Ally alitaka kuoa mke wa pili, Mama yeke alimuuliza sababu akasema kuwa mke wake kabadilika sana, tangu amekuoa amekua mtu wa kisirani, mtu wa kumfuatilia kila hatua, amekua mtu wa kulalamika na kila siku nyumbani ni kelele, alimuambia kuwa siku hizi...
  6. Nataka kulinda shamba langu

    Jambo gani naweza kufanya niweze kulinda shamba langu lisivamiwe na watu nikiwa mbali
  7. House4Sale Nahitaji nyumba ya kununua maeneo ya kuanzia Ubungo kuelekea Kibaha

    Habari za mvua Wadau. Nahitaji nyumba ya kununua maeneo ya kuanzia Ubungo kuelekea Kibaha. Kwenye Mfuko wa shati kuna TZS. 30M. Mawasiliano piga 0784636291. Ahsante.
  8. Nataka kununua Toyota Rav 4

    Anayeuza hiyo gari contact karibu, nipo Serious. Budget ni milioni 7.
  9. Nataka kusoma PhD: naombeni mawazo yenu

    Wasalaam! Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye elimu ya degree mbili, bachelor of education na masters of public administration. Ila maisha yangu yote nimefanya kazi kwenye sekta ya elimu nilianza kama ticha baadae nikaamia kwenye development projects za education. Kwa sasa nipo free, nimepata...
  10. Nataka siku moja niwekeze katika teknolojia

    Habari zenu wadau, mimi ni kijana, natamani siku moja niwekeze katika teknolojia, kwa muda kidogo nimekuwa nikijifunza programu kwa kujipambania mwenyewe. Nimejifunza kwenye simu kidogo kidogo, na hii ndiyo kazi ya kwanza ambayo nimefanikiwa kutengeneza katika simu yangu. Ni app...
  11. Nahitaji blender nzuri kwa mahitaji ya nyumbani

    Wataalamu nataka blender kwaajili ya mahitaji ya nyumbani, ipi ni low price na haitumii umeme sana lakini ni imara sana, Mnishauri tafadhari
  12. G

    Nataka kuwa baba watoto Lakini siyo mume

    Mimi ni mwanachama mtiifu wa timu KATAA NDOA, lakini nataka niwe baba watoto. Kampeni nishaianza tayari. Juzi kuna mdada kajifungua mtoto wa kiume. Muda huu nimetuma nauli kwa mdada mwingine ambaye ana hamu ya kuwa na mtoto. Hivyo anakuja kukaa siku 3 kwenye geto langu kwa lengo moja...
  13. Nataka kuwah msimu wa mchele mashambani hivi ni mwezi wa ngapi mavuno yanachanganya na mchele mashambani hupatikana kwa bei rahisi

    Habarii natak mwaka huu niingie mwenyewe chaka kwenda kufunga mzigo wa mchele na kuja nao hapa dar Naombeni muongozo wenu fremu ninayo mombasa ipo sehem yeny mzunguko mkubwa wa watu pia ni karib na lami ko wateja sina ila kutokana na location naamin sitahangaika sana kutafuta wateja wa kuanza...
  14. N

    Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Ndugu wana JF poleni na kazi na mihangaiko ya maisha. Mimi ni kijana wa miaka 29 mzaliwa wa Morogoro na kukulia DSM hasa maeneo ya Tandika! Nilipohitimu masomo yangu pale UDSM 2017 nilikuja Unguja mwezi wa 7 mwaka huo huo kujaribu bahati yangu, kilichonileta ni soka na alieniunganisha na hio...
  15. M

    Nataka nianze kufanya mazoezi rasmi na iwe my daily routine

    Wakuu, am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona ni vyema niwe na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi. Nataka mazoezi niwe nafanyia home tu Sio gym. Naombeni muongozo Nini vya kuzingatia na nifanye mazoezi ya aina gani
  16. Kwa hatua iliofikia, nataka nigombane na mama mkwe live live

    Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu. Yeye anataka ku impose sheria zake na kumfundisha mtoto mambo ya ajabu, anakiburi sana na pia ananichukulia ananiweza. Sababu kubwa ni kua...
  17. Nataka Kumroga Mo Dewji aiachie Simba SC yetu mwenyewe, je nitapata wapi Mganga hatari?

    Yaani sijui ni kwanini nikiiona tu Sura ya Mo Dewji na Simba SC yangu ilivyo kwa sasa ninatamani hata Kumpiga Ngumi!!!
  18. S

    Nataka kufuga bundi, lakini jamii hainielewi

    Nataka kufuga bundi kuzuia uharibifu wa panya wa mazao shambani kwangu, ila sasa hii jamii ninayoishi nayo wakiona nakusanya bundi hawanielewi, wanadhani mie mchawi. Halafu mie nawaona bundi wako wa-cute! Nifanyeje? Wasije wakanichoma moto ndani ya nyumba yangu.
  19. Nina alizeti nataka kukamua

    Nina alizeti kilo 10, nataka kukamua mafuta. Nielekezeni kwenye mashine iliyo karibu na hapa ninapoishi, Kibaha, Picha ya Ndege.
  20. Nataka kujenga

    Wakuu, mimi ndoto yangu nije niishi kwenye nyumba ya ghorofa hata ikiwa ghorofa mayai, ni sawa tu, Sasa nauliza kwa wataalumu hapa wa Jamii forum, nikiwa na Million 5 siwezi kujenga ghrofa? Sio lazima niimalize ukarabati, lakini niwe na uwezo wa kuifikisha hatua ya kuhamia hata vyumba viwili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…