natamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Gharama za kutengeneza Ghala la Chuma (Steel Structure) zipoje?

    Mambo vipi wanajamii forums Ningependa kuchukua fursa hii kuuliza Hivi gharama za mafundi wakuinstall steel structure huwaga wanachaji kwa mfumo upi ikiwa unataka kumuuzia kazi ya installation ya steel structure full mpaka mabati ya juu na pembeni huk mnatumia puff panels kuzunguka godauni...
  2. Pang Fung Mi

    Natamani wanawake wa kiislamu waige mazuri ya Bi Khadija wa kwenye Hadithi za Mtu S.A.W

    Wasalaam JF, 👇👇👇 Hakika ni vema mwezi huu wa mfungo wa ibada naomba ikawe neema na nuru ya ukombozi, wanawake wote wapendwa waislam maustafhati wote wafanye mazuri na wajaaliwe kama Bi Khadija. Na kheri ikawe nanyi wote, binti zetu, dada zetu, mama zetu, shangazi zetu, na Bibi xetu nyote...
  3. Hemedy Jr Junior

    Natamani Wazazi wangu wananitafutie Mke wa kuoa me nitachemka akinishinda nawapa mzigo wao

    Utamaduni huu naomba kwangu ubaki maana Ndoa nyingi siku hizi hakuna japo tunaona sherehe nyingi sana kuliko Ndoa. mimi naomba wazazi wangu wanitafutie mke atakayenifaa hivo tu sijajua kwako kijana mwenzangu una maoni gani juu ya hili.
  4. R

    Baada ya Kuolewa alisema hivi "nilikuwa natamani mwanaume anibake"

    Wanawake bwana wao huwa wanaambiana vistory vya kweli wao kwa wao. Hata mwanaume ukimkuna vizuri lazima akawasimulie wanawake wenzake. Hawa wenzetu hawawezi kutunza siri hasa kama kuna kitu kimempendeza wanapenda kushare na wenzao. Ni single mama mmoja alikuwa na watoto wawili baada ya kukaa...
  5. Achapombe cha pombe

    Mke wa tu nikumuona nakula Kona na najuta na natamani sinije kukutana naye popote pale

    Huyu mwanamke anatia aibu sana. Awali tumwkubaliana na tulikulana Sana. Ametoa Siri nyingi za mumewe. Hadi naona aibu. Namkwepa sana. Nnikumuona nakula Kona na najuta na natamani sinije kukutana naye popote pale.. Wanawake ambao Kwa bahat mby waume zao wanaume sukar nk Ile kazi ya ndani...
  6. reyzzap

    Mimi kama Shabiki wa Arsenal natamani Man City ashinde Kesi yake

    Muombee adui yako aishi maisha Mengi ili unapofanikiwa ajionee mwenyewe. Hatutaki visingizio mwisho mwa msimu, Kuna Gap la points 5, na mechi mkononi ambayo najua ni +3, maana msimu huu tunapita kila mtaa kama mwenge.. Tulimpa nafasi ya kupunguza juzi, kashindwa, Sasa si tufanyeje???? Man U...
  7. N

    Natamani vijana wa CHADEMA wajifunze kwa Zitto

    Nikiangalia fact anazoongea Zitto Kabwe natamani vijana wa CHADEMA wangejifunza kwa Zitto siasa ingeimarika sana nimemsikia leo akisema, "Wanasiasa tusijenge mazingira ambayo yataturejesha kule ambako kulipelekea mikutano kuzuiwa, tufanye siasa ambazo zitaweza kupeleka nchi yetu mbele." Zitto...
  8. Chakorii

    Natamani nikupende asilimia mia

    Yes asilimia mia sijakosea…lakini unamakando kando mengi(nayajua )na yananiumiza. Hapi nu yia
  9. M

    Natamani kung'atwa na kunguni

    Nasema ukweli kabisa. Natamani kung'atwa na kunguni i feel the experience. Siyo Kunguni tu pia mbu, nzi, mende, kiroboto na chawa. Na siyo kung'atwa tu pia natamani kuwaona na macho yangu naked eyes. This has been my life time wish for so long.
  10. S

    Natamani kufa

    Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli I don't wish to see 2023 hope this one will...
  11. T

    Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Taifa, natamani kuona uongozi mpya wenye ushawishi

    Amani iwe nanyi, Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema, amani, upendo, umoja na mshikamano kwa taifa letu. Ni mengi makuu Mungu ametenda maishani mwetu kustahili shukrani kuu. Pia, nakipongeza CCM kwa kudumisha utamaduni wa kuandaa chaguzi za kidemokrasia...
  12. NostradamusEstrademe

    Natamani kiongozi wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani ajengewe sanamu

    Naandika haya nikijinasibu kutokuegemea kwenye dini yeyote au zozote zilizo katika dunia yetu hii pendwa ndogo sana inayoitwa Earth.Nimesema dunia yetu ni ndogo sana maana ni kama punje tu dhidi ya sayari zingine zilizo angani kama Jupiter.Dunia ni kama punje ya mtama dhidi ya mpira wa basket...
  13. puker

    Kuna namna natamani kuwa sijui kwa jinsi gani itawezekana

    Habari zenu wanajukwaa. Naamini wote ni wazima poleni kwa wale wenye changamoto Mungu awatangulie 🙏. Niende moja kwa moja kwenye Mada. Kiufupi nimechoka namna jinsi gani nilivyo. Simaanishi sijipendi au sitamani tena kuishi... lahasha ila kama binadamu tungekuwa kama namna...
  14. Surya

    Kiukweli natamani sana kuishi maisha bila ya watu kunishangaa na kuniuliza kwanini

    "No one judge me" Kiukweli ndugu zangu natamani sana kufanya vitu vingi vya binafsi lakini nikifikiria watu watanionaje nguvu zinaniisha na kuamua kuacha tu na kujificha au kujibana, na ni mambo ambayo natamani niyafanye kwa uhuru wote na kwa kujiachia kabisa. Binafsi mimi ni mtoa huduma za...
  15. Shadow7

    Zitto Kabwe: Natamani Maalim Seif angekuwepo

    “Tangu asubuhi nimeamka taswira ya maalimu Seif inanijia na natamani leo angekuwepo hapa katika uzinduzi huu na naamini huko aliko anatabasamu na mwenyezimungu aendeleee kumuweka mahala pema peponi” - @zittokabwe , Kiongozi wa Chama ACT Wazalendo
  16. J

    Natamani siku ifike haraka hata kama ni kutoka tutoke tu, nimechoka!

    Natamani hiyo siku ifike haraka tucheze tumalize, hata kama tutatoka tutoke tu, nimechoka na hii mijadala! Yaani hii wiki moja ya kusubiri marudiano imegeuka na kuwa kama mwaka, dah! Tucheze tu, hata kama tutatoka siyo mwisho wa dunia.
  17. ommytk

    Natamani hawa wanatoa ushuhuda makanisani nipate ninayemjua toka zamani na shida yake

    Naomba niongee hili jambo mimi mara zote aidha naona kwa TV au kwenye gazeti au mara ingine ata kwenye mikutano mbalimbali ya dini ya awa wachungaji wanaoponesha watu na pia kuwainua kiuchumi na kimaisha. Ila natamani sana kumpata mtu namjua naona akiwa pale mbele najua kabisa alikuwa kiwete...
  18. feisar wa moro

    Sababu za kwanini bei za vyakula Tanzania zipande mara dufu

    Wakuu sina mengi hizi ni sababu zangu kutokana na hali halisi iliyopo huku mashambani kunakofanyika kilimo..( nipo kilombero morogoro) ZAO MPUNGA Bei ya kukodi shamba Ni laki 2 kutoka laki 1 msimu uliopita Bei ya kuvuruga ni laki moja na 40 kutoka 80elf msimu uliopita Bei ya kupanda ni laki...
  19. Checnoris

    Natamani Sana mwanamke anishike hivi

  20. music mimi

    Natamani kuwa na mpenzi Mzungu lakini sijui nampataje

    Naomba mawazo ya wazoefu wa kuinteract na Wazungu. Nahitaji msichana/mwanamke wa Kizungu awe mpenzi wangu ila sielewi nifanyeje nimpate. Nimejitahidi kwenda maeneo wanayopendelea kukaa haswa Oysterbay/Masaki lakini namna ya kuwaingia ni ishu, maana wapo busy sana na mambo yao pia ni wagumu...
Back
Top Bottom