NAPENDA sana kuogelea lakini Nikiwaza kwenda kuogelea maji ya baharini/Ziwani kuna mtihani mwingine huwa naogopa kuogelea maji ambayo sioni ndani yake kuna nini kwa kuhofia nyangumi, wanyama wa majini na mazingaombwe ya majini!
Hivyo sehemu pekee ya kistaarabu ni Swimming pool lakini huku nako...
Haiwezekani mpigie chapuo chanjo za kovid na kisha mkiri kwa kinywa chenu kuwa chanjo za kovidi sio kinga bali zinasaidiia ukipata kovidi isikuchape kwa nguvu.
Je, mnadhani watanzania ni wajinga?
Kwa nini mnawalazimisha kupata chanjo ambayo sio kinga?
Kwa nini tusiwe na kinga yetu kamili...
Wala siyo Gari nyingi bali ni Nne tu kama siyo Tano tofauti na za Marais ambazo unaweza hata Siku ukakutana nazo zikiwa 43 au 69 kabisa.
Hata hivyo kuna Mwamba Mmoja aliniambia kuwa huo Msafaea wa CDF Gen. Mabeyo ni mdogo hivyo ila waliopo hapo Kiulinzi ni wale Wajuba watupu wa 92KJ kule Sanga...
Habari zenu wanajukwaa pendwa la michezo JF,
Katika kipindi hiking ambacho team ya taifa ipo kambini kujiaandaa na mechi za kufuzu kombe la dunia nimepata wazo kama timu ya taifa inajumuisha wachezaji kutoka Tanganyika Na Zanzibar Kwa nini kusiwe Na ligi moja ya Tanzania?
Natamani kitokee Kwa...
Ili kutendea haki timu zingine, ni bora mechi wanazoshiriki Simba na Yanga zichezeshwe na waamuzi kutoka nje ya nchi.
Najua itakuwa ni changamoto kutekeleza hili wazo, ila huu ndio ukweli.
Siamini kama kuna mwaamuzi ambae si shabiki wa either Yanga au Simba katika hii ligi yetu ya NBC...
Kuna Vitu vya Kipumbavu mno vinafanyika Simba SC na naomba leo Simba SC tufungwe au tutoke tu Sare na Police Tanzania ili Hasira zangu za Kufungwa 'Kimipango' na Jwaneng Galaxy nizijumuishe na za leo Usiku nije na Uzi wa Kusema Siri za Upumbavu wote uliopo na unaoendelea Simba SC.
Hivi...
Siku hizi simu zote za ghali utakuta zina material ya kioo nyuma (battery cover). Hii ni kwa simu zote kuanzia iphone 8, samsung s8 kwenda mbele zote mfuniko wa nyuma ni kioo. Kwangu mimi naona kuweka kioo nyuma ya simu ni wazo la hovyo kwa sababu zifuatazo;
1. Kioo kinateleza. Simu yenye kioo...
Habari zenu, natumaini ni wazima wote? Natamani sana kujifunza digital skills hasa programming kutengenez systems, websites, apps n.k ila nakosa mentors wakunipa guide naishia youtube n skillshare tu msaada please, nitashukuru sana sana...namba zangu 0693307877
Leo nimetafakari sana juu ya hili jambo, kwa maana wanachama wa humu wa JF wakitumia majina pamoja na picha zao halisi kutaleta faida zifuatazo:
1. Kutaongeza kuheshimiana, endapo kila member humu atatumia jina pamoja na picha yake halisi kutapelekea kuheshimiana kwa kuwa member wengi humu...
Mm ni mwanaume nilie kwenye my late 20's, niliwahi kuwa na girlfriends in my late teens, Ila baadae, baadhi ya girlfriends nliokua nao niliwaacha, because sikua na malengo nao, wanajamii wengi na ndugu na marafiki wananisisitizia nioe, mm huwajibu kuwa sijakaa sawa kifedha, ila kiuhalisia hicho...
Tunaposema tuwe makini siyo kwamba ni ujinga. WHO imeruhusu chanjo zaidi ya 24 kwa ugonjwa mmoja tu.Hii maana yake chanjo bado ziko kwenye utafiti na zimetolewa kwa hati ya dharula (soma masharti). Na kama zimeshakuwa fully approved maana yake ni kuwa zinazidiana ubora au uwezo ni sawa na dawa...
Ningependa tu kuonana na Mh Mbunge Mwigulu Nchemba. Nimetumia jina la Mh Mbunge kwa sababu inakuwa rahisi kuweza kumuona tofauti na Waziri, kwa maana jina la Uwaziri linamajukumu mengi
Nahisi nikikutana naye nitatimiza furaha yangu ya moyo wangu na ujumbe wangu atausikia na kuutendea kazi...
Timu "chanjo Yes" iongozwe na Dr Gwajima na timu "chanjo No" iongozwe na Askofu Gwajima!
Huo mdahalo mtoto hatumwi dukani. Kuna timu moja naiona haiwezi kuthubutu kutia mguu kwenye mdahalo huo, naiona ina hali mbaya.
Wamiliki wa luninga jaribuni kuzikutanisha timu hizo mbili ili watu wote...
Mara ya kwanza tulikutana club sikujua kama ni mke wa mtu, alikuwa amevaa kistaarabu sana kumbe alikuwa ametoka kwenye sendoff party alikuwa ameongozana na wenzake wawili. Nilimtongoza hakukubali moja kwa moja ila tulibadilishana mawasiliano. Kilichonifanya nisiwaze kama ni mke wa mtu kwanza ni...
Nipo kibaruani mchana wa leo (nimerudi kazini awamu ya sita baada kama nilivyohaidi), nimempokea mama na kichanga chake ambaye amejifungulia kazini kwenye kiwanda cha Mchina (sehemu sitaitaja) ila ni mazingira mabaya kujifungulia binadamu, mama hana kadi ya kliniki na bahati nzuri alikuja...
Nimesikia interview ya kaka mkubwa Heri Mzozo. Kwa alicho kisema Ni wazi kuwa Zimbwe ataenda Yanga.
Kikubwa wanacho kitazama wao kama walezi na management ya Tshabalala ni maslahi ya kijana wao.
Kwa alicho kisema Mzozo kuhusu malipo anayo lipwa Zimbwe pale Msimbazi, kusema ukweli Simba...
Wakuu kwà mda mrefu nimekuwa kwenye shauku ya kufanya biashara ya kuuza pafyume zile za bei kubwa kubwa kuanzia 10. na kuendelea zenye standard mzuri na kuimport mzigo from Dubai to Zanzibar then Tanzania.
Lakini ningependa kupata apdate moja mbili kutoka kwà wadau wa humu jf na jua wanauzoefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.