Uchaguzi wa Kenya umekwisha,lakini mshindi wa kiti Cha urais aliyetangazwa na tume huru ya uchaguzi ,ya Kenya RUTO bado hajazibitishwa kwa kuwa mpinzani wake wa kitu hicho ,Raila Odinga , alikwenda mahakamani kupinga matokeo yao.Mahakama ya upeo itato majibu ya rufaa ya mzee Odinga siku ya...
Kwa kuwa kujifunza hakuna kikomo, natamani kujifunza zaidi kuhusu mabadiliko yanayofanywa katika nchi yetu hasa kwa awamu hiiya sasa!
https://www.jamiiforums.com/threads/ikiwa-tarehe-23-august-ni-mapumziko-je-karani-atazifikia-kaya-zote-kwa-siku-hiyo.2011912/post-43501017
Hili swali lilikuwa muhimu sana. Kwa nini?
Serikali ingejua kwa kiwango gani wanaume tunajitoa kusitiri wanawake wasioolewa au michepuko kwa kiasi gani,hii huenda ingesababisha mishahara yetu kuongezeka.
Pili ingejua tatizo la single mother ni kubwa kiasi gani hivyo huenda vatican wangeruhusu...
Ifike wakati Sasa Afrika tuungane Katika kutetea masilahi yetu. Linapokuja suala la Afrika lisiachwe liwe la mtu mmoja,au taifa moja.
Afrika tuoneshe kujitambua.
Yani full tafrani home, ana wiki ya pili sasa yani nimeshamchoka huyu ndugu, kafika home kututembelea lakini full kutupangia ratiba za kuamka , leo kaamka mapema kaanza kutia makelele amkeni amkeni
Usafi mtafanya SAA ngapi? Wakati sisi tuna ratiba zetu za usafi, kila mtu akiamka ana kazi yake...
Sisi tuliokuwa wapenzi wa Pan-Africanism ndio tuliokimbilia Yanga, baada ya timu yetu kuonyesha kutokuwa na future na mipango madhubuti ya kimichezo. Natamani timu hii ikiwa na pacha wake nyota nyekundu zipate mfadhili wa kuziamsha, maana kama ni mashabiki wanao wa kutosha.
Maana waliokuwa...
Habari wanafamilia wa km naomba Msaada mwenye kujua kuhusu hii gari nimeipenda mnoo natamani kuagiza Volvo XC60 haswaa upatikanaji wa spares na changamoto zake.
Natamani sana mabibi na mabwana shamba tuanzishe chama chetu. Ukiangalia wafanyakazi wenzetu kwenye wizara zingine wana vyama vyao vyenye nguvu kuwatetea katika mambo mbalimbali ya maslahi yao!
Sisi tumelala Sana hatuna hata wa kutusemea na badala yake tumegawanyika wengine wanajiona Bora...
Nimefumba macho. Si kwa sababu nipo usingizini na wala si kwa sababu ni usiku wa giza totoro. Bali ni kwa sababu ya hofu, hofu ya kuiona leo. Hii ni kwa sababu jana ilifanya macho yangu yajawe na simanzi. Na kibaya zaidi ni kuwa, matumaini yangu ya kuiona leo yenye ahueni yanazidi kupotea kwa...
Kwa mliobahatika Kuutizama Jana mtakubaliana nami kuwa.
1. Wagombea Wenza wana Akili sana kiasi kwamba wanashawishi kuwa wakiwa Ikulu watakuwa Msaada mkubwa Kwa Mabosi zao (Marais)
2. Wagombea Wenza wamechujwa Kweli katika Vyama vyao husika na siyo tu wa Kukurupushwa Kiuhuruma au Kiupendeleo...
Waingereza wao hawana Dogo wala Kubwa na Kiongozi wao hata kama wakiwa Wanakupenda vipi Ukiharibu tu watakuambua uachie Ngazi ili aje mwingine mwenye Nidhamu ya Utendaji na Uongozi kwa Umma / Jamii.
Wakuu heshima kwenu, nahudumu katika kitengo cha manunuzi katika taasisi moja ya umma (sita itaja). Kila mara ninapokuwa nikitekeleza majukumu yangu kuna roho ya ufisadi inanijia, ukweli nikwamba huwa naiba ila sijawahi kuiba zaidi ya laki 5 hata kama manunuzi ni makubwa vipi.
Tamanio langu ni...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo amesema anatamani Jeshi letu liwe la kisasa zaidi na liweze kuchangia uchumi wa nchi na liwe la kujitegemea ‘sustainable military’.
“Kwa nini wenzetu wanatengeneza zana kutuuzia sisi, na kwa nini na sisi tusitengeneze zana za...
Yule mwanamke bana pamoja na kwamba mchumba ake anapita kwenye tanuru la moto, lakini ameamua kusimama upande wa Sabaya.
Kuna haya mashankupe ya mjini sasa,jitu uko nalo kwenye mahusiano, likasikia umetiwa ndani hata kwa kesi ya uzururaji tu, nalo ndio linakukimbia mazima hata kukuletea sabuni...
Si tunajiamini kuwa Simba ni Timu Bora kabisa na tumepita CAFCC jana Aprili 4, 2022 kwa uwezo wetu na tuna jeuri ya kucheza na timu yoyote Afrika, sasa kwa nini karibia 99% ya Wanasimba wanaombea wakutane na Al Ahly Tripoli ya nchini Libya na kamwe siyo TP Mazembe ya Congo DR au Orlando Pirates...
Wamiliki wa Daladala nchini Denmark wamebuni Mbinu mpya kwa Abiria ambao hawataki Kuoa kama GENTAMYCINE au Kuolewa kama wengine ili waweze kuwapata Wenza wao ndani ya hizo Daladala.
Ni kwamba sasa katika kila Daladala nchini Denmark huwa zinaachwa wazi Siti Mbili ambapo Yule Abiria ambaye...
Natamani nikifikisha miaka 60 kama Mungu atajalia, nisiwe natumia nguvu nyingi sana za kupata ugali kwa siku. Kama itawezekana, uwe ni umri wa kucheza na wajukuu pamoja na kwenda kuwinda au kushangaa kobe porini.
Siku ya ibada kwa sababu mimi ni mkiristu, nisiwe nasali katika kanisa moja, bali...
Wakati Katiba Mpya inaandikwa kama ningelikuwepo kwenye mazingira hayo, ningependekeza kuwepo na Mihimili minne katika Tz kwa jinsi mambo yanavyoenda tangu baada ya awamu ya kwanza ya uongozi wa nchi, yaani mitifuano ya kisiasa ambayo haina afya kwa ustawi wa taifa.
Mhimili wa nne ungekuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.