Natamani nikifikisha miaka 60 kama Mungu atajalia, nisiwe natumia nguvu nyingi sana za kupata ugali kwa siku. Kama itawezekana, uwe ni umri wa kucheza na wajukuu pamoja na kwenda kuwinda au kushangaa kobe porini.
Siku ya ibada kwa sababu mimi ni mkiristu, nisiwe nasali katika kanisa moja, bali...