nauza

  1. magabelab

    Nauza Mifumo ya kuangalia matokeo

    Mifumo hii imeanza kutengenezwa 2013, sasa imekamilika. (Natafuta fedha ya kutengeneza mfumo Fulani imayotumia AI). Mifumo hii ya kuangalia matokeo unaweza kuiprogram kama chombo cha cassini, yaani utakavyo on the fly kwa kutumia computer au simu yako ya mkononi, mfano kuweka matangazo au...
  2. alpha walk

    INAUZWA Nauza perfume

    Habari wanajukwaa nauza perfume za kike na za kiume kwa bei ya 40,000 tu na ni brand ya kizawa kabisa Inakaa muda mrefu na inaweza kusikika harufu yake kwa umbali mrefu,napatikana Dar es Salaam unaweza kunichek kwa namba 0674376787 nikakuletea sample.
  3. Anastasia21

    Nauza Tank la Maji used

    Jamani nauza tank used ltr 2000 la aina ya kiboko, bei ni Tsh. 350,000/- Ukiitaji nicheki 0693972647, nipo Dar es Salaam.
  4. The last don

    Computer4Sale Nauza laptop toshiba core i3 bei 250k

    SOLD
  5. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja kwa Tsh. Milioni 3

    Salam wakuu, Nauza kiwanja chenye urefu wa mita 35 na upana mita 20. Kimepimwa(surveyed) Bei ni Tsh. Milioni 3 Plot number 594 Location: Morogoro, Mkundi. Mawasialiano zaidi: WhatsApp number 0742666736
  6. Nyuki Mdogo

    Dar - Mbezi Msuguri; Nauza Friji kubwa na ya kisasa (brand samsung) na SOFA nzuri sana (Leather sofa)

    Hello ladies and gentlemen hizi hapa mali safi kabisa Friji iko mwake mwake kama unavyoiona.. Bei 750,000 Tuwasiliane Mbezi kwa Msuguri
  7. DRIVE

    Plot4Sale Nauza godown

    Habari wadau, Nauza godown. Lipo mkata handeni barabara kuu irudiyo msata/pwani Lipo kilometer 2 toka mkata stand Lipo meter 100 toka barabara kuu itokayo mkata kurudi pwani Maji yapo mpaka site, eneo lina ukubwa wa square meter 7200 limepimwa lina hatimiliki- tittle deed no 1 Eneo lina jengo...
  8. Miss Mbeya

    House4Sale Nauza nyumba ipo Mbeya

    E
  9. salehe magari

    Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  10. Mulimila dole

    INAUZWA Nauza Bajaji kwa Bei chee

    Bajaji inauzwa TVS used bei 3,200,000. Inapatikana Gongo la mboto, Dar es salaam. Karibu uhudumiwe, simu 0755 233233.
  11. K

    Nauza rice thresher machine ziko Dodoma

    Kwa wadau wa kilimo nchini tafadhari karibuni Mashine ni Diesel Engine HP 16 2200 RPM Uzito wa body na Engine jumla ni Kg 165 Inauwezo wa kupiga Kg 1000 kwa saa inafaa kwa kupigia Alizeti ,Mpunga, Mtama na Uwele mashine mpya inapatikana kwa tsh 7.5M badala 9.5M na used iliyotumika mwaka mmoja...
  12. Y

    Nauza vifaa vya chips

    Wana JF nauza hivo Vifaa; -Kabati kubwa ngazi tatu -Jiko la Motor linalotumia chenga za mkaa -Jiko la mkaa la kuchomea viaz la kawaida -Jiko la mishikaki -Meza ya kuweka Kabati -Makalai mawili ya viazi na kuku - Flampeni 2 -Vyombo na vifaa vingine kama Taa kubwa Bei 380K vyote..... Eneo lipo...
  13. dingihimself

    INAUZWA Nauza feni Aina ya Ailyons

    Nauza feni yangu tsh 35,000 Aina ya Ailyons haina shida yoyote nipo Dar-es-salaam . Namba za Mawasiliano yangu ni 0657438581 0657438581
  14. African Geek

    INAUZWA Nauza Camera Lumix S5 kwa bei nafuu

    Nauza Camera yangu aina ya lumix s5. Niliinunua ikiwa mpya na nimeitumia kwa muda wa mwaka mmoja. Haina tatizo lolote na iko kwenye hali safi sana. Ni nzuri sana kwa ajili ya kufanyia video production. Specs: Brand: Panasonic Lumix Model: Lumix S5 Sensor: 24MP Full Frame 6K CMOS sensor Video...
  15. MFALME WETU

    Nauza simu Samsung Note 10+

    Samsung Note 10+ inauzwa bei rahisi RAM 12 ROM 256GB @450,000/= [negotiable] ☎️ +255676721372 Dar es Salaam 📍
  16. M

    Nauza mafuta ya alizeti bei nzuri sana

    Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
  17. Soph09

    Mikoba mizuri ya kuwekea documents na laptop

    Nauza mkoba wa kuwekea documents na laptop. Umetemgenezwa na material safi na ndani una sponji nyepesi ambayo haivunji PC Yako na haiingizi maji kabisa. Bei ni 40000tshs Nipo Dar derivery ipo ndani ya Dar na mikoani na nchi jirani ninatuma kwa uaminifu mkubwa Mawasiliano :0628935034
  18. Soph09

    Nauza Bedside bei poa

    Bedside size 4×6 Rangi zilizopo ni kijivu, ugoro, pink, nyeupe, samawati. Bei 35000 Material ni zuri sana, Kutoka Thailand na Uturuki Mawasiliano 0628935034
  19. J

    Computer4Sale Nauza Laptop HP Pavilion x360

    Habari wakuu Nauza HP Pavilion x360 touch screen RAM: 8GB Hard Disk: 500 GB SATA Graphics card: Intel with Radeon Changamoto: Haikai na chaji, yaani ni direct ila inalekebishika Ina mpasuko kidogo pembeni kama picha Inavyo onesha. Bei laki 4 na elfu 50 Mawasiliano 0620306221 WhatsApp+255...
  20. jmo mbeya boy

    Nauza Incubator mashine ya mayai 2000

    Mashine ipo vizuri na inapiga kazi vizuri nipo Uyole Mbeya Inatumia gesi Bei ni Milioni 1.5 0767750426
Back
Top Bottom