Habari wakuu
Nauza eneo langu lenye ukubwa wa kari 3 liloko Mkoa wa Morogoro, eneo la Wami Luhindo (km 20 toka msamvu stend, Dodoma road) , Kisha unaingia bara bara ya vumbi na gari km 8 hadi eneo la kiwanja.
Eneo liko jirani na kiwanda cha nyama.
Bei ya kuanzia kwa ekari ni laki 8
Kwa maswali...
Salama Wakuu?
Nina bati 13 za ALAF zimebaki baada ya kupaua naziuza, 11 ni za mita 3 na 2 ni za mita 3.3 nina kofia 1 na valley 1 zote ni charcoal grey na aina ya bati ni Versatile, zina kama siku 6 tangu zitoke kiwandani. Unaweza nichek PM kama uko interested bati zipo Kimara Dar es salaam...
Salaam Wakuu
Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm.
Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na serikali ya mtaa, hii ni kwa maeneo yote ya engosheratoni.
Ukaribu wa Kiwanja kipo karibu na shule ya...
Ndg wana JF,
Kwa heshima na taadhima, naomba kuujulisha umma wa Watanzania kuwa kuanzia leo nianzishe biashara ya kuuza mawazo kwa watanzania wenzangu pamoja na wageni juu nini mtu afanye for development sake.
Sasa nimeona sina budi nijiajiri ili niwe nawauzia bidhaa hii baada ya kufanya...
Baada ya kumaliza kidato sikupata chuo. Migodi mikubwa ndio ilikuwa imeanza kufunguliwa nchini.
Mimi nikaona isiwe tabu nikaenda Kakola mkoani Kahama kusotea kazi. Kazi zilikuwa ngumu sana kupatikana. Kama huna konection unasotea huku ukiishi kwa kuvunja magoti wanaotinga.
Nilivyooona Mambo...
Kiwanja ni changu mwenyewe na kina ukubwa wa 520 SQM.
Kipo Engosheraton kata ya Sinoni. Jirani kabisa na Shule ya Sekondari ya Misheni ya Edmund Rice.
Kiwanja kimezungukwa na Huduma zote za kijamii.
Wasiliana nami kwa 0744718928. karibuni sana.
Salama wakuu?
Nauza kiwanja Mtwara Mjini bei 6Milioni.
-Kipo magomeni, 1 km kutoka stendi kuu ya mabasi Mtwara.
-kuna banda watu wanakaa
-kipo jirani na chuo cha afya COTC
-Kimepimwa sqm 317 na hati ya wizara ninayo.
-Tambalale,barabara,umeme na maji vipo hapo hapo.
Mawasiliano 0769476225
Habari zenu wakuu.
Ninauza ECU YA BMW N46 engine Bosch part number DME 7620350-02.
Hii ECU inatumika kwa BMW models zote zenye N46 engine kama E90, X1, 1 series, etc.
Bei ni 1.3 million. Napatikana Dar.
Wasiliana 0625536529
Asanteni
Subaru xt
CC 1990
Full ac
Full doc
Gari inaviwango vyote, gari haihnunuliwa mkononi gari imeagizwa kutoka japan, colour blue, usajili namba DN, imekaza sana.
Inataka mil 16.5
Location, picha npgie simu chap
0628729873.
Price/Bei 15.7mls
Cont:
Bmw 3 Series ECY
Year 2008
Cc 1990
Low Km 99000
Full Options✅
Sports & New Tyres
Clean Condition
0688591584
Navunja Na Gari yoyote°°
Location Dar es salaam
Habarini Wana JF.
Glass protector aina zote zinapatikana kwa bei ya shilingi elfu moja per item.
napatikana kivule dar es salaam ukihitaj nakuletea popote ulipo kwa dar es salaam.
Contact: 0753158943
Habari wakuu,
Nauza duka langu la vifaa vya ujenzi lililopo kibamba Dar es salaam maeneo ya Kibwegere duka linathamn ya m8. ( Milioni nane)
Mawasiliano yangu ni 0656052164.
Habari zenu Nauza mbegu za michongoma. Zipo kibaha. Kwa anayehitaji kwa ajili ya kupanda kama fence kwenye kiwanja ama shamba lake anaweza nicheki kwenye namba 0758308193 na bei ni sh 10000 kwa chupa ya soda yenye mbegu. Mfano eneo la eka 1 chupa 6 zinatosha. Hiyo ni gharama ndogo kuliko kuweka...
Taa ya kuua Mbuu Na Wadudu mbalimbali
Ni Ya Kuchaji
Inaua Mbuu Na Wadudu mbali Kwa Shoti Maalumu
Haina madhara kwa binadamu,
Ikishachajiwa na kuwa full chaji inaweza tumika masaa 48
haina gharama ya ziada zaidi ya kuichaji
Pia Inatumika kama taa ya kawaida ili kupata mwanga
Battery 4000
BEI...
Chagua rangi yoyote geji 30 hii no ofa kama unataka idadi yoyote unapata kwa 33500 piga 0743257669 uliza kwanza kwa wengine ukijua bei ndio uje kwangu uone hii ofa babkubwa tupo Buguruni hatuna mbambamba.
Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa.
Kiwanda kipo Morogoro na tunasafirisha kwenda popote Tanzania kwa gharama nafuu. Ukihitaji njoo PM tuongee biashara.
Asante.
Habarini wakuu, poleni na mihangaiko.
Leo katika pita pita zangu shambani nimebahatika kuokota mayai ya bundi. Kwa wajuvi wa mambo nawiwa kuuliza hivi mayai ya bundi huliwa?
Au kama Kuna mtu anayataka kwa shughuli zake binafsi anitafute.
Wazo lililopo kichwani ni kwenda kuuza kwa waganga wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.