AirTags zilitangazwa katika hafla ya uzinduzi wa Apple mnamo tarehe 20 Aprili 2021. Zitatolewa tarehe 30 Aprili, lakini unaweza kuagiza mapema wakati huo sasa. Maagizo ya mapema yalianza tarehe 23 Aprili.
Apple AirTags ni vifaa vya ufuatiliaji vyenye teknolojia ya Bluetooth vilivyoundwa...
Basi lenye Terias injini ya scania 113 hoarse power 320 body limetengenezewa kenya linauzwa lipo katika hali nzuri na hivi sasa linatembea na injini yake haijawai kuguswa.bei yake ni rahisi ambayo hata watu wahali ya chini wanaweza kumudu kwa mawasiliano zaidi bei ni tzsh mil 50,000,000 sababu...
Hello bosses and roses...
Nauza Apple iPhone XS Max Gold kwa 500k tu. Nimeitumia kwa miezi miwili tu, battery health ni 87%.
Bado ni mpya kimwonekano hata kimatumizi.
UPDATE.
========
SOLD
Habari za Leo wapendwa!
Leo nawaletea biashara ambayo unaweza kuifanya kwa mtaji mdogo na kuifurahia. BIASHARA YA DAGAA NYAMANONO yaan dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza.
Dagaa Hawa wakiwa wabichi, huoshwa vizuri na kuwekewa viungo Kama Chumvi, Swaum, tangawizi na limao. Baada ya hapo...
Wapendwa kimfaa mtu chake nauza heka zangu zote 3 zipo Bagamoyo karibu na plot ya Bakhresa. Ni mali yangu halali nauza kwa sababu nipo mbali.
Piga kwa maelezo zaidi 0715160365. Ni mali yangu hakuna dalali.
Habari Wanajamvi!
Wacha niende Moja kwa Moja kwenye Maada yangu.
Nina shida ya kifedha, hivyo nalazimika kuuza friji yangu aina ya frigo.
Glass(650Ltrs)nimeitumia miezi mitano tu, kwamaana hiyo Bado ni mpya na iko kwenye hali nzuri.
Bei ni Tshs 650,000/=
Kwa mawasiliano nicheki 0745 493961
Karibuni sana Bei chee tunauza balo za mtumba grade 1 ukitaka nguo za kupoint zipo. Tuna balo za nguo aina zote.
Gauni za kike
Suruali za kike
Mabwanga
Skin and boyfriend jeans
Mashati
T-shirt
Cargo jeans.
Cardet
Na nyinginezo nyingi
Tunapatikana mtongani temeke dar es salaam
Mawasiliano...
Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni.
Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku...
Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa bei ya Tshs 110,000
Nimeitumia kwa muda wa miezi 3 tu bado ina upya wake na boksi lake pia bado lipo
Haina tatizo la aina yoyote na haijawahi kwenda kwa fundi ila naiuza ili nitatue changamoto zangu
Ukiiona ndo utaamini ninachoeleza hapa
Karibu...
Nauza Gari yangu Aina ya Jeep WRANGLER ya Mwaka 2018.
Registration T 127 CUA
Make: Jeep
Model: WRANGLER
Body type: Station Wagon
Colour: Green
Year: 2018
Fuel: Diesel
Price: 65,000,000/=
Habari Wakuu, Nauza laptop yangu sio dalali.
Hp,Core i5,
Intel(R) Core (TM) i5 Family Processor
4th Generation Laptop
4GB installed RAM.
Processing Frequency of 2.40GHz X 2.3GHz.
4CPU's (Core Processing Units)
500GB of HDD STORAGE.
Backlight keyboard
Bluetooth & webcam
Original Hp folio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.