Wakuu habari moja kwa moja kwenye mada. Nasumbuliwa sana anaphylaxis shock nkiumwa na wadudu kama nyuki na majigu na shughuli zangu mara nyingi nazifanya maporini kukutana na wadudu tajwa ni pie.
Katika kufuatilia tatizo langu nlishauriwa ntafute injection pen ntembee nayo hivyo kwa yeyote...
Wakuu
Nimemiss kula mboga za asili,kuna anaejua wapi kwa hapa Dar naweza kupata hii mboga ya majani inayoitwa mgagani?
Ni mboga maarufu zaidi huko kanda ya ziwa.
Habari za mda huu wa kuu.kichwa cha somo chahusika.Ninatarajia kufungua kiwanda kidogo kwa ajili ya usafishaji wa mafuta ya kupikia hivyo ninahitaji kemikali muhimu katika shughuli hii.Mafuta nitakayokuwa nayachqkata ni ya alizeti,mawese na mengineyo.Naamini JF ina watu wa kila nyanja katika hao...
Inawezekana kukawa na Upenyo wa Kisheria Kwa Watu ambao wanenunua Ticket, wengine wamelipia Usafiri wa Ndege, Ma bus ama kutia Mafuta kwenye magari Yao kuja Dar es salaam.
Wamelipia Hotel ama Gesti, Sasa wanaambiwa Mechi imeahirishwa na Bodi ya Ligi.
Hakuna namna Mashabiki wanaweza kufungua...
Habarini wana JF naombeni kuelimishwa je inawezekana kusoma computer sience ikiwa 4m4 math nilipa F na kama inawezekana ni kivipi au nifanyaje?
na kama haiwezekani nisome it inawezakua na maslah mazuri? Naombeni msaada na ushauri ahsanteni.
Nb: matokeo ni haya
CIV D
HST C
KISW C
ENG D
BIOS D...
Katika viwanda 30,000 bilivyojengwa mie na familia yangu hatuna hata kimoja.!?
Kwa sababu uanzishwaji wa viwanda ni jukumu la private sector na kila mmoja wetu hata mie NIMO..
Wapi naweza pata mtaji nianzishe BAR niwapunguzie watu mawazo kama jukumu la bia lilivyo...
Najua kuna vijana wengi wana mawazo yao lakini changamoto huwa ni fedha.
Ningependa kujua ni wapi naweza kupata fursa ya kuweza kuhudhuria maonyesho ya projects zinazodeal na mambo ya computers, simu, apps, n.k.
Kwa sasa nipo Njombe, huku ni bila bila. sehemu ya karibu nayohisi kuna hayo mambo...
Umuofia kwenu,
Aise kuna fundi nilimpa kazi na malipo 85% kazi ilikua ya makubaliano ya kukamilika kwa wiki Moja, lakini sasa yapata mwezi na mwelekeo wa kukamilika haupo.
Mbaya zaidi hana dharula yoyote yupo na anaendelea na kazi za wateja wengine nikimuhimiza kua ananikwamisha analeta...
Habari zenu wapendwa mimi nimemaliza form four mwaka wa jana matokeo yametoka mwaka huu sasa nilikuwa na omba kuuliza kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa kidato cha tano katika shule za serikali na kama ndio kwa combination gani ? matokeo yenyewe ni MATHEMATICS (C) , CHEMISTRY (C) , BIOLOGY (C)...
Wataalamu naombeni msaada Kumbe nilifuta barua ya muhimu sana.
Sina utaalamu sana kwenye simu. Vitu ninavyodelete sijui hata vinaenda wapi?
Barua inahitajika sasa halafu haipo kwenye simu. Nilitumiwa WhatsApp
😭😭😭😭
Salaam,
Nawaza, Je naweza kuungalisha speaker ya JBL Boombox2 kwenye redio ya gari? Lengo ni kuongeza hiyo speaker kwenye idadi ya speaker za gari. Msaada tafadhali.
Salamu.
Ama baada ya salamu Mimi ni mzima wa siha muruwa.
Mwezi Dec nilipata wasaa wa kutembelea nchini Misri, ratiba yangu ilikuwa very tight kiasi kwamba hata airport sikuweza kubadilisha Egyptian Pound kuwa USD.
Sasa zimekaa ndani Nina zaidi ya Pounds laki Moja ya Misri, ubalozini...
Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara.
Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga
Wakuu za asubuh
Nilikuwa napenda kuwauliza kwa maeneo ya Kariakoo wapi naweza pata FENI kubwa la panga boi la kuliweka sebuleni kampuni ya Panasonic au asha care ikiwezekana hata high class.
Msaada wenu wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.