naweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa hapa Kahama?

    Habarini wanaJF? Naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa hapa manispaa ya Kahama?
  2. D

    Ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa Kahama?

    Habarini wanaJF? Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,naomba mnijuze ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba hapa manispaa ya Kahama.
  3. MUCOS

    Muongozo: Wapi naweza kuprint vitabu vyangu?

    Wakuu heshima kwenu. Nina vitabu vyangu nahitaji kuviprint. Tafadhali mwenye kujua kampuni nzuri au mtu mzuri kwa hapa Dar Es Salaam ninayeweza kufanya naye kazi haraka anipe muongozo tafadhali. Nahitaji wachapishaji wazuri wenye gharama wezeshi(affordable) na wenye kukamilisha kazi kwa...
  4. Joseph Kadasula

    Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  5. Kazanazo

    Wadau mnishauri hivi January hii naweza kupiga lenta

    Nimepata vijisenti vya kuniwezesha kufunga lenta sasa naona hali ya hewa imekunja sana mvua zimeanza vipi nikifunga itakuwa poa? maana kukaa na pesa nako ni kipaji
  6. Dear_me_

    Naweza kuendelea nilipo ishia kwenye kwenye ufuatiliaji wa passport ta kusafiria

    Habari za muda huu wana jF ningependa kuuliza na kujua Je kama nimeshalipia control number ya passport online nika downlaod na form na imepita miezi sita je nikitaka kwenda kwnye ofisi ya uhamiaji inanibidi nianze upya ufuatiliaji (kulipia 20,000 ) kwenye control number.? au nitaendelea nilipo...
  7. A

    Je, Naweza Kuwa Muimbaji Mzuri Wa GOSPEL Nikiwa Na Usikivu Hafifu !?

    Habari Ndugu Zangu, Kwanza Nianze Kwa Kuwashukuru Wote Mlionipatia Ushauri Wakati Napitia Hali Ngumu, Hakika Jamii Forums Kuna Watu Wema Sana. MUNGU Awabariki 🙏 Uamuzi Niliouchukua Ni Kwenda Chuo, Hivyo kwasasa Nasoma Diploma in Primary Education Katika Mtaala Mpya huu wa Elimu Na Inshallah...
  8. Mjukuu wa kigogo

    Haya Madude naweza kuyapata Mwanza?

    Watu wa Mwanza haya madubwasha nitayapata Kwa dealer yupi hata kama ni used?
  9. J

    Ni baada ya muda gani naweza Kuuza vipande kwenye mfuko wa Liquid Fund baada ya kununua?

    Wakuu habari, ni muda gani naweza kuuza vipande kwenye mfuko wa UTT liquid Fund au mfuko wa Ukwasi, je naweza kuuza hata baada ya mwezi mmoja au miwili baada ya kununua ama ni mpaka meiezi mitatu au mwaka labda?
  10. zerocreys

    Mtaji wa Tsh 300,000 naweza kufanya mradi gani?

    Hello wana JF, chuo hivi punde, na nina pesa taslimu 300,000 je, nifanyie nini? Kuku naweza fuga,ila interview kila mara mkoani
  11. M

    Wenyeji/Wakazi wa TANGA MJINI nipeni uelekeo wapi naweza nikapata kazi...

    Aminia sana wakuu. Moja kwa Moja kwenye Mada, Wakuu Naomba mnipe uelekeo nahitaji kujua sehemu gani TANGA MJINI ambayo naweza nikapata kazi zile nzito nzito za ujenzi au kubeba zege au kwenye viwanda vya nondo vya wahindi kama vipo, Viwanda vya cement, Kushusha mizigo nk. Ili nikatafute kazi...
  12. Tlaatlaah

    Sina usharika na Joseph Mbilinyi, ila ngoma yake ya Wanakuita Sugu, naweza kumwambia dereva aireplay hiyo ngoma Dar to Dodoma na siichoki

    I love that song badly, but I am completely not accepting the style of Joseph Mbilinyi unreached politics, specifically in mbeya town constituency. Alistahili kuwa mbali zaidi, lakini pia more powerful politician zaidi ya Lisu na Mbowe kwenye siasa za Chadema na ndani ya Tanzania kwa ujumla...
  13. stan john

    Ni wapi naweza kupata sigara nikauze jumla? Nipo Dar

    Habari, Mimi ni mfanyabiashara nipo Dar, Mabibo. Nilikua naulizia wapi naweza kupata sigara ili nije kuuza Bei ya jumla?
  14. B

    Msaada jinsi gani naweza kuwafikia wamiliki wa vyombo vya usafiri mikoni ili kuingia nao makubaliano ya kussuport wazo langu?

    Habar qanaforum mimi apa nawazo la kuanzisha ofisi ya kupokea na kaagiza mizigo kutoka dar kwenda mikoni au kutoka mikoani kwenda sehem ingine kwa kutumia usafir wa mabasi lakin sijui vipi nitawafikia wamiliki wa mabasi ili nikubaliane nao. Hii nataka ni tengeneze uaminifu na urahisi kati ya...
  15. Baba Benson

    Naomba mwenye kujua mahali naweza pata nafasi Quality assurance officer

    Habari wana JF katika jukwaa letu hili pendwa, Nina shahada ya sayansi katika kemia UDOM. Sijabahatika kupata kazi serikalini kama mnavojua ugumu ulivo lakini nimefanya kazi katika kitengo cha ubora ( Asst lab tech na Quality supervisor) katika kiwanda cha kuchakata samaki ambapo kimsingi...
  16. D

    Je naweza kupata bajaji 3 M iliotumika mwaka mmja tu?

    Je naweza kupata bajaji kwa 3 M iliotumika mwaka mmja tu
  17. princess ariana

    Soko gani naweza pata mafuta ya nazi asilia

    HABARI Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, soko gani nitapata mafuta ya nazi ya asili yale wanayotengeneza kwa kutumia nazi kienyeji?
  18. Yohimbe bark

    App gani naweza kuitumia kutuma sms nyingi kwa wakati mmoja?

    Kuna kazi nimepata moja ya majukumu yangu ni kutuma sms ya shukrani kwa wateja wote kila siku waliokuja kupata huduma kwenye kampuni yetu, je app gani itanisaidia wakuu? Thanks in advance.
  19. ney kush

    Mwenye kujua wapi naweza pata hiki kifaa

    hiki kifaa kwaajili ya Packaging machine.
  20. mwanamwana

    Pre GE2025 Mwita Waitara: Sina mpango wa kuachia Jimbo, ila naweza nisirudi Bungeni serikali isipotatua changamoto Tarime Vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema kuwa hatoweza kurejea Bungeni iwapo Serikali haitachukua hatua za kutatua changamoto za migogoro ya wakulima na wafugaji, miradi ya maji isiyokamilika, na hali ya miundombinu ya barabara jimboni kwake. Hata hivyo, Waitara amesisitiza...
Back
Top Bottom