Habarii ndugu zangu Wanajf,
Mimi ni mwajiriwa wa serikali japo bado sijathibitishwa kazini,ila nimepataa changamoto ambayo inahitaji kama 2M Hivi kuweza kuitatua.
Je? Ninaweza kupata mkopo NMB? Kama jibu ni ndio nilikuwa naomba kujua vigezo vyao na huchukua Muda gani mpaka kupata.
Ahsanteni Sana;
Ndugu zangu,
Nimekua nikijiuliza jambo zito Je, mtu anayeishi kwa kusema ukweli, kuchukia rushwa, na kushikilia maadili anaweza kweli kusimama imara kwenye siasa zetu za sasa? Mimi ni mtu ninayethamini haki kuliko kitu chochote. Nachukia rushwa kwa nguvu zote, kiasi kwamba hata kama ningepewa...
kichwa cha habari kinajielezea labda kwa faida ya ambao hawajaelewa ni hivi..
Nawezaje ku access miziki ya simu yangu hata kama nikiwa mbali na simu yangu..?
Yaani hata kama simu ipo mbali nawezaje kupata playlist ya miziki yangu kupitia kifaa chengine...????
https://x.com/dogeofficialceo/status/1843382048767258909?t=snaDQf8FVMrm5Dx2zKuZzw&s=19
Elon anacheka lakini ni ukweli. Ikiwa Trump atashindwa, Elon ataishia kushtakiwa na kupigania maisha yake. Hiyo ndiyo gharama ya kujaribu uhuru wa kujieleza. Bodi za makampuni yake zinaweza kumwondoa kwa kuwa...
Kama tangazo linavyojieleza nataka lain ya Router Airtel ile yenye kifurushi cha 70k 10Mbps, router ninayo. Je kuna mtu anaweza akafanya ma nouver nisajili hiyo lain bila kununua router!
Kuna ndugu mmoja yupo Marekani California amepark mzigo wenye device mbali mbali wenye thamani dola 26000. Kwa wazoefu naomba kujua namna ya kuupata huu mzigo Asante.
Your package contains
26000/USD money
4 coverage cameras
2HP computer set
6toshiba laptops
5 iPads
5 Iphone
25 samsung tabs...
Habari wakuu.
Kuna jambo la haraka ambalo ili kulikamilisha natakiwa kuwa na physical (plastic) debit/credit card na siyo hizi virtual kama za M-Pesa ambazo ndizo nazitumia sana. Kwa anayefahamu benki ambayo unaweza kufungua akaunti na ukapewa kadi ya Master au Visa siku hiyo hiyo naomba...
Habari wakuu!
Naona baadhi ya watu wanashinda Jf siku nzima ila mimi mpaka nikanunue vocha au kutumia wi fi .
Hivyo basi wataalamu wa hivi vitu naomba msaada wa jinsi gani naweza kuacess internet bila kutumia
Vocha au wi fi.
Habari?
Nina milion2 kama kianzio naona nitafute bajaji ya mkopo, vipi inawezekana na inautaratibu upi?
Hii pesa nimekosa wazo zuri la biashara naona itaisha tu.
Au kama kuna mtu ana wazo zuri wakuu anisaidie.
Natanguliza Shukurani.
Habarini za mda huu, nilikua nahitaji kujaribu kuanza kuuza art works, lakini ndo hivyo sijiamini amini, ebu let's take ndo wewe unaiona hii picha, unaweza inunua?
Au haijakaa Mkao! Na vipi hapo ni rahisi mtu kujua kama ni Dar es Salaam au?
Pia ni bei gani nzuri kuiuza hii kazi ili itoke ?
Wakuu wote habar zenu...
Nauliza kama naweza kupata gari tajwa Kwa bei hiyo.
iwe namba D
Kama kuna atakayekwazika natanguliz samahani.
Naleta Kwa hatua yenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.