Habari wadau,
Natarajia kulima mahindi katavi mpanda kama ekari 300 kwa wazoefu naweza pata boom sprayer inayoendeshwa na trekta kwa kukodi. Na gharama zake zipoje
Nimeona niombe msaada kupita group hili la wajuzi wa mambo
Nilikuwa nataka kujua mahali au maduka ambayo naweza pata Camping Hammock kwa Mwanza,Dar au hata mikoa mingine.
Na je kama ipo inaweza kuwa ni bei gani
Nawakilisha kama picha ilivyo hapo chini
Kwa hapa Dar es Salaam wapi naweza kupata kuku wa kukaanga kienyeji mithili ya wale wanaouzwa KFC? Yani kuku wa kukaanga crispy au crunch lakini ni wa kienyeji.
Na ni kwa nini kuku wa kienyeji wa kuchoma au kukaanga mara nyingi huwa anakuwa mgumu kuliko wale wa kisasa? Mara nyingi watu...
Habari za mishe mishe wakuu.
Kila mtu anatamani harufu ya gari kutoka Japan. Tatizo linaweza kuja kwenye budget. Sasa tu-assume tuna maximum budget ya Mil 15 tu, je tunaweza kupata gari kutoka JP?
Magari ya Million 15 na kushuka chini
1. Honda Fit (2nd gen, 2007 -2012)
Unaweza ukapata hii...
Tundu Lissu anajua kuongea. Hakuna mwanasiasa anaweza simama jukwaa moja na Tundu Lissu kubishana. Hakuna Chama Chetu CCM na nje ya chama au any chama.
Lissu akianza kuongea utapenda msikiliza ana facts anajua mambo. Ni mzuri katoka kuelezea jambo. Kama ambavyo Prof Kabudi pia alikuwa na...
Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga
nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
naombe ushauri wenu.
Habari za Uzima Ndugu zangu.
Mimi ni Kijana wenu wa Usikivu Hafifu Nimekuja Tena.
Nataka Niende Nikasome Uwalimu wa Shule ya Msingi "Primary"
Nauliza Naweza Nikapata Mkopo !?
MUNGU AWABARIKI.
Habari Wana jukwaa, poleni na majukumu ya hapa na pale namuomba mungu awatilie wepes kwa Kila jema mfanyalo katika harakati zenu
Kama kilivokichwa cha habari, Mimi ni mjasiriamali chipukizi Nina biashara yangu hivo naomba kupewa maoni na mawazo ni media ipi wanaweza kunitangazia biashara yangu...
Habari wakuu
Hivi ni namna gani unaweza kuangalia kama mwajiri wako anaweka hela NSSF kila mwezi online ,yaani Kama Kuna app ,au kwenye ya website ya nssf hio huduma ipo ?.
Naomba kujua na ni kwa namna gani
Nilikua na kaplatform kangu ka kozi, hivyo nilikua nauliza nifundishe kuhusu nini angalau naweza Pata wateja kwa hili soko la bongo na pia budget yabei ikaaje ? Naombeni maoni yenu
Habarini wakuu!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nina changamoto hiyo; siwezi kamwe kurudia tendo nikiwa na mwanamke mmoja......yaani nakuwa mtu wa bao moja tu chali hata nifanye au anifanyie nini mwanamke. Yupo aliyenipenda na kutumia usiku mzima kunijaribu kwa kila hali ikiwemo kuloweka...
Hii ni mikopo inayotumwa halmashauri, nipo kigoma ni mtumishi mwaka wa nne nafatilia sipati, nikiingia kwenye hazina portal wanaonyesha naweza pata million 20, nimejitahidi kweli kweli kuupata lakini naona mambo yamekua magumu kweli.
Vipi Kuna namna nyingine naweza pata huu mkopo Ambao hauna...
Wakuu habari za wakati huu?
Nahitaji huduma ya tractor au grader kwenye maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe (Tanga)
Kama kuna mdau yoyote anaweza kuniconnect na mtu au kampuni yenye tractor au grader naomba anisaidie tafaadhali, itakuwa vizuri kama nipata wasaliano yao ili tuwasiliane moja...
Habari wanajf, kuna suala ambalo linanitatiza naomba wenye uelewa wanisaidie!!
Iko Hivi Mimi nina Diploma ya Civil engineering (Civil technician) nikafanya Oral interview ya ( VOCATIONAL TEACHER II PLUMBING AND PIPE FITTINGS) ambayo ilihitaji mtu mwenye diploma ya civil nikafaulu ila kutokana...
Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni.
Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia
Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ??
Naomba mnielekeze
Ni mwaka 2002 nikiwa na miaka 12 nilikuwa nasikiliza nyimbo za Dully Sykes, Katika moja wa wimbo wake kuna unaoitwa "Nyambizi" kuna sehemu anaimba
Nyambizi, nionee huruma mi sio kuchu,
nipe japo kiduchu
Mi nshachoka kupiga puchu!
Kama mnavyojua zamani kaseti unaweza kuirudia hata mwaka mzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.