Ni hali ambayo ni ayo kwa muda mrefu. Mwanamke bila kumtomasa tomasa, kukiss, Na baadhi yao kusex siwezi kuwa free kuzungumza au kuwa rafiki yake kwa uhuru.
Hope mmeamshwa salama. Ningependa kujuzwa kama kuna sehemu safi Dar wanayotoa huduma ya bafu / kuoga tu (bila kujali kama mtu amelala hapo kwao). Kama zipo za karibu na Ubungo, ingependeza zaidi. Natanguliza shukrani
Habari,
Naomba msaada jamani nina stationery lakin katika kipindi hiki cha umeme kata rudi napitia wakati mgumu sana.. Naomba usbauri wenu jamani naweza kuongeza biashara gani isiyotumia umeme nikajiongezea kipato?
Pia ni sehem ipi online ambapo naweza kujifunza graphic design kwa undani??
Salaam,
Dogo anapitia changamoto anashindwa kulog in katika hizi akaunti zao za Selform ili kuedit Machaguo, kwa mliofanikiwa mmefanyaje maana nimejaribu pia nimeshindwa.
Username inayotumika ni ipi na Password ni nini?
https://selform.tamisemi.go.tz/Account/Login
Karibuni kwa msaada.
Habari zenu wadau, leo nawakaribisha na kuwaambia kwamba sisi kama African businesses tunatoa huduma ya kupamba na kupendezesha ofisi au makazi kwa kwa kutumia mapambo ya mbao na picha pamoja na materials mengine, tunafanya ofisi au nyumba yako kuwa nadhifu kabisa.
Gharama zetu ni nafuu sana...
Habari zenu wakuu
Nahitaji kuondoa mistari kwenye flat screen ya TV yangu.
Kuna hii huduma ya LCD LED OLED etc screen bonding ambayo ndiyo suluhisho.
Jee, kwa anayejua, niende wapi kupata huduma hii kwa Dar es Salaam, na gharama yake ni kiasi gani?
Natanguliza shukrani.
Wapendwa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano,
Naomba msaada wenu ndugu zangu , nimebahatika kuuza kaeneo kangu nikapata 10M. Sasa natamani kuizalisha kupitia bidhaa zinazotoka China.
Naomba mnijuze ni bidhaa gani zinatoka haraka sana ambazo sio za bei kubwa, yaani m Tanzania wa kawaida...
Ivi Umewahi kufikiria hili?
Katika miaka mia ijayo, mwaka 2124, sisi sote hatutakawapo hata jamaa na marafiki zetu pia.
Watu wasiojulikana wataishi katika nyumba zetu ambazo tumejenga kwa jitihada kubwa na kwa Majaribu mengi. Watakuwa na vitu vyote tulivyo navyo au Vingine kuvitupa...
Nawishi kuchukua loan kozi life limekua likinichapa sana, wataalamu nipeni uzoefu sana.
Je, nitaweza kopesheka shingapi kwa benki ya CRDB kwa hio salary?
Habari za muda huu wakuu, nende moja kwa moja kwenye maelezo mafupi juu ya swai langu.
Kwanza kwenye account yangu ya NMB kuna kama mil.3.5 hivi ambayo ipo kweny fixed accont. Sasa wiki iliyopita nilitaka kuitoa kwasababu muda wake wa kukaa kwenye hiyo account umeisha.
Kuna rafiki yangu...
Habari wananzengo"
KWa wale wataalam wa jukwaa la teknolojia, naomba mnieleweshe namna gan naweza nikatambua kwamba hii saa janja ni band fulan?
Maana utakuta mtu anasema hii band 4, hii band 5
Sasa anawezaje kutambua hizo band?
Nawasilisha
Habari wanajukwaa mko salama?
Nina rafiki yangj yuko USA nataka kumtumia mzigo wake huko alipo, so naombeni msaada wenu wa kujuzwa kampuni ambayo naweza safirisha nao mzigo ukamfikia mhusika kwake.
Natanguliza shukuran.👏
Habari waungwana!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.
Nahitaji kutumia huduma ya E-sim ambayo siku hizi makampuni yetu ya huduma za mawasiliano yameileta nchini.
Je, kwa simu aina ya samsung A04 ina support kupata huduma hii? Nimeona nije kwa wajuzi wa haya mambo.
Karibuni kwa...
Wakuu salama?
Naomba kujua chimbo gani zuri naweza kupata pikipiki aina ya YAMAHA mkoa wa Mwanza. Nijue pia bei ya Pikipiki mpya na used.
Nikipata mawasiliano ya muuzaji nitashukuru zaidi.
Karibuni wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.