Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.
Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.
Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.
Mimi binafsi simpendi na si...
1. Kununua Uwanja wa Ujenzi wa Tsh Milioni 4 na Laki Saba na Elfu Hamsini ( Tsh 4,750,000/= ) maeneo ya ndani ndani kiasi Kinondo, Mingoyo, Vikawe na Mapinga.
2. Kununua Ramani ya Nyumba Shilingi Laki Mbili na Elfu Hamsini ( Tsh 250,000/= )
3. Kujenga Nyumba ya Vyumba Vitatu kwa Tsh Milioni 25...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Wakuu siko vizuri kupangilia maandishi naomba mnisamehe kwa hilo.
Mimi ni kijana mwenye miaka 30 nimefanya biashara kama tatu hapa bongo sioni mafanikio biashara ya mwisho nimeachana nayo last month nimeuza vitu kwa hasara nimepata 2M. Nimeamua kwenda...
Habari wadau,
Natafuta ruler za pica nimezunguka nimechoka sasa naomba msaada hz ruler unaweza kuagiza kutoka nje shida gharama sn adi ije ikufikie ni kama laki hivi nataka niitumie kwenye design.
Tafadhali naomba mchango wako wa mawazo!
Nimekuwa nikitamani sana kuzitembelea baadhi ya nchi za Afrika ambazo bado sijafika. Ninatarajia kutimiza sehemu ya hiyo hiyo ndoto hapo baadaye mwaka huu.
Ninatarajia kutembelea alau nchi nne, kama bajeti itaruhusu, nazo ni AFRIKA KUSINI, BOTSWANA...
Wakuu Habari
Hivi naweza kutumia CVT NS 2 kwenye Gear box ya nissani teana ambayo Recommended yake ni Matic J?
Fundi mmoja ananiambia CVT NS 2 inaingia kwenye Gear box yoyote ya nissani na fundi mwingine anasema Gear Box ya Nissani inatakiwa kuwekwa Matic J oil
Msaada tafadhari
Habari wazee,
Nahitaji usafiri ijumaa ijayo nina vitu vichache(vitu vya ndani) vya kusafirisha kutoka Morogoro(mzumbe) kwenda Moshi(himo) siku ya ijumaa ya wiki ijayo ya tarehe 7 mwezi wa 7.
Usafiri wa magari ya mizigo inayotoka mikoa yoyote ila inapita morogoro au hata kama gari linaanzia...
Milioni 2 naweza fanya biashara gani ambayo utanisaidia kupata pesa ya kula kila siku na akiba angalua 10000 kuweka?
Mimi ni single mama ninaehitaji kujishughulisha ili niishi vizuri na mwanangu.
======
Michango wa mdau
Wataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
Huyu binti nampenda sana lakini anatabia ya kuongea uongo sanan kuna muda najipa imani kua ataacha lakini baada ya muda yanajirudia.
Shida nyingine hata ukimuuliza ni mgumu ku admit kwamba amekosean anahisi kama yuko katika nafasi ya haki kuongea alichoongea.
Nifanyeje? Moyoni nampenda ila...
Natamani kutuma maombi ya CSR yani corporate social responsibility kwenye makampuni yaliyo karibu yangu hata yaliyo mbali. Ila sijui nifanyeje ili maombi yangu yawafikie na wanizingatie
Mwenye kufahamu naomba anisaidie ujanja nifanyeje? Na wanahitaji nini ? Kama nna idea ya project...
Natumaini wazima
Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana
Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi kwenye private sector tulivumiliana baadae nikamaliza nae akapata kazi serikalini tukaanza kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.