naweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Msaada makadirio ya bei na sehemu naweza kupata "curved monitor"

    natafuta 34" - 37" curved monitor, ndani ya Tanzania bei na wapi nawaza pata? sio lazima brand niliyo attach hapa cc
  2. M

    Nahitaji kusafirisha vitu vya ndani kutoka dar es salaam kwenda Songea!

    Naombeni msaada ni njia gani cheap na salama naweza kutumia Kusafirisha vitu ya ndani kutoka Dar es salaam Hadi Songea!🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Na Bei za usafirishaji zipoje?
  3. chiembe

    Wataalamu wa computer, nina documents nyingi sana katika laptop, namna gani naweza kuzipanga iwe rahisi kuzipata in a friendly way!

    Nina thousands of documents, nyingine hata kuzipata ni kazi japo za muhimu. Kuna namna naweza kufanya? Au Kuna application inaweza kusaidia? Naiingizaje hiyo application? Any one with experience ?
  4. Komeo Lachuma

    Je, hapa naweza athirika kwenye nguvu za kiume? Maana pia siwezi "Jichukulia Sheria Mkononi"

    Sisi wengine tunapata mbunye kwa nadra sana. Sababu hatuna pesa na hatuna mvuto. Sasa unajikuta tu muda mwingi unaona watoto wakali ila huwezi kuwala. Basi mashine inasimama mpaka masaa mawili au matatu imekakamaa tu...mishipa imevimba inakuwa inashtuka shtuka muda wote kama imekumbwa na...
  5. Wababa13

    Naweza kuomba uhamisho wa ndani ya Halmshauri bila ya kuthibitishwa kazini?

    Habari ya muda huu wadau na Heri ya Mwaka Mpya 2023 Samahani nauliza ivi Mtumishi wa Umma unaweza kuomba uhamisho wa ndani mfano toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine na huku bado haujathibitishwa kazini ndani ya Halmshauri iyo iyo unayofanyia kazi?
  6. NetMaster

    Naweza kuitumia unlimited supakasi ya voda kwenye simu?

    Habari zenu, nimeona hii huduma ikiwa inajadiliwa sana humu ndani na ningependa kujua kama naweza kuitumia kwenye simu ya mkononi? Ni kwa matumizi ya familia nikiwa nyumbani hasa kuanzia mida ya jioni lakini nikiwa ofisini nataka niwe nayo.
  7. Masokotz

    Fahamu jinsi ya kuanza biashara kwa mtaji mdogo (Mfano: Milioni 1)

    Habari za wakati huu, Ni matumaini yangu kwamba unaposoma uzi huu unatamani kuanzisha biashara yako mwenye.Katika kuandika uzi huu nimefanya assumption kadhaa ikiwamo kwamba wewe unajua kusoma na kuandika tu,Hauna ujuzi wowote ule ambao unaweza kuufanya na unaisha katika eneo ambalo lina watu...
  8. Crocodiletooth

    Ni engine gani naweza funga kwenye Nissan civilian nje ya engine yake? Original

    Naomba kujuzwa ni type gani ya engine inaweza kufit kwenye Nissan civilian. Kwa ku Forge alimradi gari ifanye kazi.
  9. B

    Wapi naweza pata huduma ya car insurance kwa leo

    Wakuu habari. Gari yangu imeisha insurance bila kujua muda umeisha, naweza pata wapi huduma kwa siku ya leo. Ni third part Asanteni sana
  10. NetMaster

    Kuna namna yoyote naweza kuifanya ili mtoto wangu awe raia wa Zanzibar ili nimpunguzie mzigo wa uraia wa bara?

    Kila mzazi ana jukumu la kumpunguzia hali ya kusota mtoto wake kwa kumuandalia mazingira wezeshi, nami nataka niende extra mile ya kujaribu apate uraia wa Zanzibar. Kwa ninachokiona ni wazi kabisa uraia wa Zanzibar ukiulinganisha na huu wetu kama maji na mafuta, kuna privelledges katika uraia...
  11. Sa 7 mchana

    Wapi naweza pata CORN STARCH?

    Habari wakuu. Naomba kujua kuwa wapi naweza pata Corn Starch.
  12. Billionaire wa Betting

    Ni dealer yupi hapa bongo anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya 0 kilometer ?

    Habari wakuu, naomba kujua kwa hapa bongo ni dealer yupi anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya kabisa yaani 0 kilometer.Gari hizi ni Kama, 1. Mercedes Benz S class (2022) 2. Audi A8(2022) 3. Lexus LS (2022) 4. BMW 7 SERIES (2022) 5. Volvo s90 (2022) 6. Volkswagen Atlas (2022) 7...
  13. T

    Vipimo vya HIV, Determine Early Detect naweza kuvipata wapi?

    Wakuu, naomba msaada wa kupata vipimo vya HIV vinaitwa Determine Early Detect. Nikimaanisha ni famasi gani ama hospitali gani naweza kuvipata. Natanguliza shukurani zangu za dhati kabisa. Ahsante.
  14. R

    Msaada wapi naweza kupata Generator Kwa Bajeti ya 200k

    Habari za Leo Mimi ni mjasiriamali kutokana na changamoto hii ya mgao wa umeme naomba kupata msaada wa kujua sehem ambayo naweza pata generator kwa Bajeti ya 200k kwa ajili ya barber shop nipo DSM Naomba kuwasilisha maana TANESCO imeamua kutupatia Umasikini na Serikali haipendi kuona raia...
  15. Maleven

    Wapi naweza pata Acrylic sheet kwa Dar es Salam?

    Ndugu naomba kufahamu mahali naweza kupata acrylic sheet
  16. Execute

    Nimenunua kasia, je naweza kupata ajira pale airport niwe nafungulia milango ya ndege?

    Wakuu nilipita katika pwani ya bahari nikaona kijana amebeba kasia nikampa elfu tano akaniuzia. Naweza kulitumia hili kupata ajira pale airport niwe nawafungulia milango ya ndege?
  17. B

    Naweza kupata vioo vya site mirror pekee vya IST

    Habari wakuu, Wapi naweza kupata vioo vya site mirror ya IST vioo vyangu watoto wa mtaani walirusha jiwe kikapasuka Site mirror ni nzima, kioo ndio kina tatizo
  18. Meneja Wa Makampuni

    Naweza kupata wapi bidhaa hizi

    1. Lubricant and coolant 2. Mechanical spare parts 3. Laboratory chemicals and water treatment chemicals 4. Propane refrigerant 5. Valves spareparts 6. Gas engine turbocharger.
  19. M

    Naweza kupata mkopo benki kwa dhamana ya mkataba wa biashara?

    Naomba kufahamu kama kuna uwezekano wa benki kuwezesha biashara ambayo ndiyo inaanza kwa namna ya wao kama benki kutumia mkataba wa makubaliano ya kibiashara kati ya kampuni yangu na ya China kwenye biashara ya pembejeo?
  20. Raia Fulani

    Naweza kujisimamia rufaa mahakamani?

    Habari wakuu, Nina kesi inayohusu masuala ya ndoa. Tumefikia hatima mahalama ya mwanzo pale Stop Center Temeke. Mwenzangu kakata rufaa. Nimeambiwa na Hakimu kujibu hoja za upande wa pili wa maandishi. Ndio nauliza. Naweza kujibu mwenyewe? Najibu vipi? Mawazo yenu muhimu sana 🙏
Back
Top Bottom