Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi jeans na cardets.
Ni wapi naweza kuipata?
Habari wadau,
Natafuta machine za kuchakata plastics kuwa flakes naweza kuzipata wapi kwa Kariakoo?
Pet bottle flakes ceushing machine.
Pet bottle label remover.
Pet bottle neck ring remover.
Pet bottle washing machine.
Pet bottle dry machine.
Pet bottle flakes compressor
Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi ni mwanafunzi mwaka wa pili chuo X degree ya ualimu( bachelor of science with education) semester ya kwanza nilipata GPA 3.5 semester ya pili 4.2 na semester ya tatu 3.2 lakini najua na ninauwezo wa kupata 3.6 kutokana na bado sjafanya field ( teaching...
Assalamu alaykum Wana jamiiforums
Bila kupoteza muda, baada ya kupitia mengi katika maisha ya uhusiano sasa naona ni muda muafaka kwangu kurudi katika maisha ya kutafuta mke.
Sifa.
1. Asiwe katika mahusiano
2. Dini: Awe muislamu, mchamungu, mwenye kuvaa hijab ya kisheria na mfanya ibada.
3...
Wakuu habari za asubuhi.
Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka.
Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari. Nina familia ya watu 6 yani wife watoto 3 na house girl.
Matumizi yangu ni kuendea kazini, kuwapeleka...
Habari ya uzima,
Nina Mdogo wangu yupo chuo kikuu anasoma Education mwaka wa pili English na Kiswahili.
Kama mnavyojua changamoto ya Elimu yetu unaweza kutoboa Hadi chuo kikuu lakini bado ukawa haupo smart au competence katika kudadavua Mambo ya Maisha na career yako. Huyu Mdogo wang yeye ni...
Wana jf habar zenu,,, jaman mi muda mwingi sina kazi na Nina smartphone kutwa nashinda online lakini ni jobless ni kuunga bando tyu na kuslide duniani
.
Nisaidieni jinsi bando langu kupitia smartphone yangu unaweza nizalishia pesa.
Jobless tupitie comments za high IQ hapo 👇👇👇
Nimekulia kwenye familia ya KKIKRISTO made hebu ya Kilutheli, na Sunday School na Kipaimara nilikuwa mwanafunzi bora kabisa nikiwa nimekariri vifungu vingi sana vya Biblia.
Baada ya kuhitimu kidato cha sita, nilipata daraja la tatu, nikaona niingie mazima kwenye biashara maana hamna tena namna...
Asalaam Aleikh. Wakuu wapi naweza kupata viti vya ofisini vya mtumba. Viti vile unaweza udjust urefu na vya kuzunguka. Bei yake ipo namna gani?
Natanguliza shukrani.
Nimeandika vitabu vya financial education, women empowerment na girls rights maalum kwa ajili ya watoto. Pia nna vitabu vya Kiswahili kwa wageni kujifunza. Sina pesa ya designing na kuvichapisha.
Ni wapi naweza kupata msaada wa aina yoyote nichape vitabu vyangu? Ikiwezekana kwa makubaliano maalum.
Wasalaam wakuu.
Carl Jung alizama kwenye bahari ya psychedelics na kuandika vitabu vingi vilivyobadilisha maisha ya mamilion ya watu.
Kwa upana pia ninataka kubadilisha maisha yangu kwa kuua Ego na kuwa mmoja na ulimwengu.
Natamani kutranscend na kuwa katika level kuu itakayonifanya niishi...
Naishi naye huu mwaka wa 3 bila ya ndoa.
Hadithi yake ya nyuma ipo hivi
" Alioelewa akiwa na miaka 17 baada ya kupewa ujauzito na uyo jamaa na wakaishi wote miaka 8 kwenye ndoa na kuzaa watoto wawili.
Sababu ya kuachana uyo jamaa alianza kula madawa ya kulevya ndugu wakampeleka sober akarudi...
Mambo vipi wana jukwaa mko poa, wazima nyote, nije kwenye shida yangu hii, nauliza naweza kupata mkopo wa kama sh laki moja bila riba, au kama riba ipo iwe nafuu kidogo,
Kuna shida naitaji kuzitatua kidogo kama kuna uwezekano nikapata mkopo, kuhusu uaminifu ndo nguzo kuu, je naweza kupata...
Wapi naweza kupata, fremu na top za milango ya mninga kwa bei nafuu; top isizidi 200,000/=, na fremu isizidi 90,000/=; hiyo gharama iwe mpaka kufikisha eneo la ujenzi, Arusha.
Milango na fremu 16pc, ila kazi inaweza kufanyika kwa awamu.
Hello wanajukwaa.
Nina Toyota Alpha huwa natoka nayo mara kadhaa niki
Huwa ni my choice hasa pale napoenda sehemu na watoto ila huwa wanapenda kuruka ruka hasa pale nikiwa nimepaki kwenye foleni, kwenda kuwanunulia juice dukani, n.k.
Hali ya kuruka ruka kwao inaleta mgandamizo na kuifanya...
Ni kweli kuwa unaweza kuingiza fedha au kujiingizia kipato bila kuwa na Google Adsense.Narudia tena ni ukweli.
Baada ya kumaliza masomo ya advance nilizindua kitabu changu cha pili kiitwacho OPEN THE DOORS OF SUCCESS IN YOUR ACADEMICS. Lakini ndoto zangu zilikuwa ni kuwa mwandishi mkubwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.