Mimi si mwenyeji wa iPhone lakini imenitokea kuna baadhi ya emoji sizioni, kuuliza nimeambiwa nifanye update.
Nachotaka kujua,
Process ya updating inatumia GB ngapi?
Naweza tumia simu nyingine kuwasha hotspot au lazima iwe WiFi kama hizi za public?
Kwa mfano nikienda restaurant, zoezi zima la...
Simu yangu Samsung A10 imekufa kioo nataka kubadilisha sasa nahitaji kujua wapi naweza kupata kioo original maana nasikia kuna feki itakuwa vema nikikipata hapa nilipo sasa mbeya pia nahitaji kujua bei zake pamoja na kubadilisha.Msaada tafadhali wadau
Mimi ni kijana Mtanzania Nimemaliza Elimu ya Kidato Cha nne mwaka 2008 ila sikuridhika na matokeo kwani nilipata Division IV, Sasa nimesoma Level za Cheti na Diploma lakini natamani Kurudia Mtihani huu. Naomba Ushauri Kwa yeyote anayejua procedures na nifanye kitu gani niweze kufuzu ukizingatia...
Heshima kwenu wakuu.
Napenda kuuliza, kwa hapa mwanza ni katika maeneo gani na katika maduka ya aina gani (category) naweza kupata ammonia ya maji? Na je bei yake ni kiasi gani?
Asanteni sana
Wanajamvi Naomba Msaada wa Kujuzwa Program Gani ambayo Nitaandika kwa Kiswahili kisha intranslate kwa English.
Naitaji Kuandika Makala za Mada Kazaa..Sasa Siitajia kufanya makosa katika Uandishi wangu
Ni matumaini yangu wote wazima humu ndani. Nimesoma diploma ya procurement and logistic management ila baada ya kuingia bachelor degree nikabadilisha course na kusoma business management, naenda miaka 6 sasa hivi bila ajira, naona nilikosea kubadilisha course.
Naomba kujua kama ninaweza kufanya...
Utangulizi:
Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Inahisiwa kuwa asili ya nyanya ni nchi ya Peru/Equador huko Amerika ya Kusini. Mmea huu ulianza kuzalishwa kama zao katika nchi ya Mexico na baadaye kusambaa...
Habari wakuu
Kwa bajeti ya milioni 10 hadi 11 naweza pata gari gani show room .Hapo unatia funguo tu na kuondoka habari za kodi zisiwepo .
Au nicheki kwa 0713 039 875
Amani iwe nanyi.
Moja kwa moja naomba nijitambulishe kwa imani mimi ni muumini wa dini ya Kiislam.Katika maandiko matakatifu ya kitabu cha Quran naona kuwa Suala la RIBA limekemewa sana ,kifupi ni haramu kula au kutumia RIBA!
Principle kuu ni kuwa RIBA ni haramu, yaani ongezeko lolote la pesa...
Wana JF hivi kuna uwezekano wa kufanikiwa kiuchumi unapokuwa na umri wa kuanzia 41?
Mpaka sasa nina mke na watoto watatu. Sina shughuli rasmi, nabangaiza tu.
Naanza kuona kama ndoto yangu ya kuwa na mafanikio kiuchumi inafifia.
Swali langu ni kwenu ninyi Wana JF. Hivi kuna possibility ya...
Habari wakuu,
Nataka nijenge Dar lakini kabla ya hapo nilikuwa nahitaji kufanya survey. Napenda wilaya tatu Kinondoni, Dar na Kigamboni lakini nilivyopitia maeneo mengi ambayo ni mazuri Kawe, Mbezi, Mbezi Beach, Kinyerezi Kimara ni ghali sana, hii survey nimeifanya mtandaoni! Yaani huku kupata...
Kama kuna mtu anahitaji mtu wa kufanya kazi yoyote ya halali, nipo hapa napatikana mkoa wa Arusha. Kwa yeyote mwenye connection ata Dar es Salaam naweza kuja kama kuna mwenye kazi tafadhali.
Wakuu habarini,
Naomba kuuliza jambo hili moja, kuwa naweza pata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo yangu ikiwa pia balozi hiyo ipo nchini kwangu.
Mfano nafukuzia visa ya aina fulani ambayo nchi yangu haina au sio eligible, je, ninaweza kwenda nchi nyingine na kuomba aina hiyo hiyo ya visa...
Naishi nje ya Nchi.....!
Inawezekana kufungua Online Account kwa Bank zetu za Tanzania....!
NB.
Najua humu kuna Wafanyakazi wa Bank, ama member wenye Uzoefu na mambo Banking.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.