Ninaomba kwa mlioko Mbeya jiji nielekezeni mahali ninaweza kuipata mbegu ya Azolla.
Nataka nijaribu kuotesha kwa ajili ya kuku na bata.
Nimeambatanisha na picha ya mmea wenyewe!👇👇
Kwema wadau
Naomba kuuliza ni wapi hapa jijin Dsm naweza pata vile vibao vya posti kodi vilivyo kuwa poa kama vile vya awamu ya kwanza (vile vya enzi ya Mama Tibaijuka)
Maana hapa mtaan kuna wapuuzi wana vibao vyao wana viuza ila ajabu izo namba yaan utazan mtoto wa darasa la kwanza ndio...
Habari wadau nina kitabu kina page 4000
Huku posta sehemu ya bei rahisi kuprint 200
4000 x 200 = 800000 laki nane
Heeeh si ni balaa hili naombeni msaada
Habari wadau,
Naomba kuuliza wapi naweza pata vitabu hard copy vya serikali sio PDF soft copu ivo vipo online naweza kuvipata all time mm nataka hard copy mfano TPA tarrifs nk.
Shukrani.
HABARI WAKUU,
SERIKALI AU TAASISI YOYOTE DUNIANI LAZIMA IWE NA STRUCTURE
Ipo hivi serikali yetu ina OFISI YA RAISI, OFISI YA MAKAMU WA RAISI na OFISI YA WAZIRI MKUU
Chini ya hao kuna wizara TAASISI zote km TBA, TRA, TANESCO, BOT zipo chini ya wizara
Apo kuna mpangilio mfano BOT yupo chini...
Nimeweka sana juhudi kwenye kujijengea maisha lakini nguvu zote hazijafua dafu. Muda huu nimelala apa kitandani ila usingizi sipati kwa maana nipo kwa baba wakati ilinipasa niwe nafanya harakati za kuoa kwa umri wangu.
Nimetafuta sana mtu wa kunifadhili mtaji nifanye biashara ninayoifaham vyema...
Habari zenu wakuu niliagiza parcel kupitia aliexpress na mzigo unaonesha umesha wasili kwenye destination country
shida inakuja nilikurupuka kuagiza mzigo kabla ya kuwa na sanduku la posta je naweza kuupata kweli mzigo au ndo imesha kula kwangu?
Naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili wajuzi
Habari waku, mimi ni kijana nnayejihusisha na ufundi wa magari kwa muda wa miaka miwili na nusu sasa, napatikana Arusha mjini.
Katika shughuli zangu nilifanikiwa kununua Mashine yangu ya diagnosis kutoka China Aina ya Launch X431 V+ na nikaanza kazi ya diagnosis kama extra coz bado nipo...
Wanabodi (in Pascal Mayalla voice),
Nimepata safari ya haraka kwenda Nairobi ila passport yangu ni zile za zamani ambazo hazitumiki na siku-renew. Sasa naomba kwa mnaofahamu je ninaweza pata pass ya muda ya kusafiria? Na ninaipata wapi,ni palepale airport au immigration? Maana kwa muda uliobaki...
Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa.
lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion
Research question: Could this death be prevented?
Remember: Prevention is better than treatment!!
Natafuta Korean series inayoitwa Arthdal Chronicles....!
Nimehadithiwa habari yake kwa Uchache, kuhusu Igutu wenye Damu yenye rangi ya Zambarau...!!!
Wapi naweza ku download hii series..!??
Nina Idea ya product ya Educational technology.
Ila ipo kwenye mahandishi mpaka sasa.
Ni wapi naweza pata mfadhili au mtu wa kufanya nae partnership?
Naombeni msaada wa mawazo.
Ningependa kujua wapi naweza pata kupima pcr?majibu yanatoka kwa mda gani nikipima?na mwisho nataka kujua gharama zake?Nahitajika kujua kwa haraka ili niweze kusafiri kwenda Rwanda alhamisi.
asanteni sana
Naombeni wenye kujua mje mnijuze na je malipo ntalipaje nikiwa hapa nyumbani maana nimegundua king'amuzi cha Dstv cha South Africa ni gharama nafuu kulinganisha na hapa kwetu
Mfukoni (actually ni kwenye account ya TigoPesa) nina milioni tano taslimu.
Natafuta kiwanja upande wa kuanzia Ubungo kwenda Goba, Salasala, Tegeta, Madale, hadi Bunju.
Lakin pia Ubungo kwenda Kimara pande zote, Mbezi huko msakuzi, hadi Kibamba, Kiluvya.
Kifupi tu nalenga maeneo ambayo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.