Nimemaliza mwaka huu 2021 PCM division 2.12 na matokeo yafutayo:
Physics D
Chemistry S
Advance mathematics B
Naombeni ushauri ni course gani itafaa kwa ufaulu huo.
Wakuu Kama kichwa kilivotanabaisha hapo juu,Kuna mahali nina kaplot ka ukubwa wa Meter 11x15 nataka nianze kukafanyia kazi.je naweza fyatua kanyumba ka chumba tatu na eneo la parking likabaki?
Wapi naweza pata mkopo wa laki mbili na nusu itakuwa vizuri zaidi kama kuna site za online zinaweza toa mkopo maana sitarajii kukaa na mkopo huo kwa muda mrefu ni kitu fulani tu nakikamilisha ndani ya wiki then pesa husika inarudi.
Msaada tafadhari.
Ni kilomita 3 tu kutoka Ziwa Victoria mpaka Bugarika jirani na Bugando Hospital. maji bado ni changamoto kwa miaka 60 ya CCM madarakani poleni kwa ndugu zangu wa Mahina kilomita 7 mnaochota majitiririka kwenye mitaro.
Lengo langu ni kumkumbusha Rais Samia kwamba hata Marais walopita wote...
Naumba ushauri ndugu zangu mm nasoma chuo kikuu ila nipo mwaka wa mwisho na semester ya mwisho je naweza kuomba tena chuo kwa kozi nyengine kama mwaka wa kwanza na baada ya kumaliza semester hii kukubaliwa kuendelea na kozi nyingeni kwa mwaka huu mpya wa masomo uko Bado sijagraduenti.
Kama heading inavyojitanabaisha ninatafuta simu hii inayoitwa Nokia 1680c ambayo ilitoka mwaka 2008.Niliwahi kutumia simu hii kuanzia 2009 mpaka 2013. Ilikuwa ni simu nzuri kimuonekano, kitendaji na kiumadhubuti.
Badala ya kuwa na simu ndogo zisizoeleweka kama tecno au itel nimeona ni bora...
Naipenda kutoa huduma ya usafi wa majumbani, ofisni.
Je, naweza kuanzaje ili nifike malengo? Kwa anayejua naomba mawazo maoni, mitazamo?
Kwenye hii biashara ya usafi.
Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko
Je, kulingana na...
Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
Kwa matokeo haya naweza pata chuo (EDE-hge) degree coz za biashara? Nmefany mtihan 2019, mwaka huu nmerudia economics can uhakika na matokeo yatakavyotoka mana pepa ilikaza sana
Naomba ushauri kwa wazoefu, wataalamu, wajuzi n.k
Amebakiza miezi 2 kwa makadirio.
Ni safari ya almost 8Hrs, kutoka Dar kwenda mkoani.
Tayari nipo out of time, safari hio ni either kesho/keshokutwa or never.
Kama inawezekana, nini vya kuzingatia?
NOTE: ni kwa njia ya Public transport/Bus.
OFFICIALLY NOW ON TV& RADIO.
Thanks almighty God, all my audios and Videos songs now have Copyright under ISRC(International Standard Recording Code) and can be Played anywhere all over the World and I can sell anywhere all over the World. Now I have my own Registrant code number. Join with me...
Wanajamvi nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama kichwa cha somo hapo juu kinavyoeleza naomba mnisaidie angalau aina tano tofauti za shahada ambazo nikizisoma hata nisipopata serikalini kazi bado nitakuwa na uhakika wa kupata mlo wa kila siku nimesoma HGL ahsante
Kuna ambaye ameweza kulihack shadow fight 3 licheze offline anayeweza atuoe msaada wadau tuenjoy
Game nzuri sana hii tatizo ni online simnajua hatuwezi eka bando kila siku
Inategemea umekamatwa kwa kosa gani, kwa mfano ukikamatwa kwa makosa ya mauaji, Uhaini, makosa ya kutakatisha pesa, kunajisi, wizi wa kutumia silaha kufanya biashara ya madawa ya kulevya au ugaidi miongoni mwa makosa mengine huwezi kupata dhamana.
Ikiwa umekamatwa kwa tuhuma za makosa mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.