Kwenu wataalam wa ujenzi. Naweza kujenga nguzo za kibaraza kwa matofali ya kulaza, yaani niachana na nguzo za nondo/zege? Juu nitaweka mkanda kama kawaida. Kiutaalamu ina madhara yoyote?
Salaam wataalamu wa afya. Kama kichwa kinavyoelekeza naitaji msaada kuhusiana na anxiety disorder. Kwamba niwapi nawezafanyiwa diagnosis na gharama zake.
"PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
Wakuu nina ofisi inayonajishughurisha na software development, Juzi nimepata mteja ambaye anataka "School Management System" lakin anataka malipo yakifanyika kwenye account ya shule yaonekane kwenye system. Na hili ili liwezekane nilazma nipate API ya bank ya account husika. Kama kuna mtu...
Habari!
Nimepoteza leseni ya udereva, nimekamilisha taratibu zote za kupata mpya (renew).
Wamenipa kile kikaratasi chenye maelezo mafupi na tin number.
Ni lazima kulipia palepale wanapokuambia ukalipie au naweza kulipia kwa njia ya mitandao ya simu?
Thanks
Je nikijichanganya mitaa ipi hapa nitakuwa na nafasi kubwa kukutana na wazungu wengi na hatimaye nikaopoa mchumba ?
Nahitaji kuanza kucheza mechi za kimataifa ili niwe balozi
Msaada please
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
Habari Wana JF,
Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4
Vigezo;
Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
Habarini wanaJF,
Ningeomba muongozo mahala pa kuwasilisha project yangu kwa ajili ya kuomba grant ya kuitekeleza hapa Tanzania.
Project hii itagharimu takriban Tsh 500M na pia kama kuna mtu angependa kuwekeza ni project ya uhakika ambayo itarudisha ela yake.
Nasubiri muongozo wenu wakuu.
Wakuu. Heshima kwenu.
Kama mada inavyojieleza wakuu nahitaji kutumia Laptop kutokea kwenye simu wakuu.
Vitu gani vinawezekana na vipi haviwezekani...?
Naweza kuona interface ya laptop kwa bluetooth nikafanya ninachoweza kufanya kwenye laptop kwa kutumia simu yangu...?
Kama ipo hiyo app...
Habari wana Jamii Forums, samahanini kwa wale wenye ujuzi wa kisheria, naomba msaada juu ya ni hatua gani za kisheria naweza kuchukua kwa kampuni inayoitwa EROLINK.
Kampuni imekua inaleta usumbufu sana kwa wafanyakazi wake, hasa pale mikataba yao ya kazi inapoisha, na uwa haiwasilishi...
Mrembo wangu anataka nimtafutie course outlines za course zote za LLB undergraduate. Nimejaribu but in vain..
Jamani Kama kuna mwanafunzi wa llb hapa na una course outline ya course yoyote please kindly share it with me nimpe shemeji yenu..
N.b : She graduated at UDSM more than ten yrs ago na...
Hello waungwana kama kichwa cha uzi kisemavyo msaada tafadhari ningependa kujua ni njia zipi naweza kuzitumia ili niweze kujilinda na udukuzi. Iwe kwa njia iliyobora zaidi,iwe online au offline na ni niia zipi naweza gundua kuwa nadukuliwa..?
Ni hivyo tu..
Wakuu samahani sana kwema!
Wapi naweza pata zile boyfriend jeans za mtumba za kina dada.
Wandugu napata wapi kiwepesi ziwe za kupoint kwa wenye mabalo msaada wenu tafadhali nina uhitaji nazo.
Mwenye taarifa anijuze.
cc Tanayzer
Habari zas sasa,
Naomba kujua kutoka kwa wabobezi humu, wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine nzuri kwa ajili ya kusaga na kukoboa nafaka? Aina ipi ya ya motor, na vifaa vingine associated ni bora zaidi? Bei ni kiasi gani, na duka gani ambalo halina vifaa fake na la kuaminika naweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.